[emoji23][emoji23] nimepata notifc yako tu nikaanza kucheka kabla sijaifungua...
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] sasa ww ndo ulihisi kule unaenda kula vikokosho tu
Mtoto laini huyo
pole sana dgo
Wacha weeeMimi sikumbuki nilishangaa nini pale FEZA boys
Ndo maaaaaana basi ukorofi na utundu ilikua umejaa paleAsubuhi kwenda Assembly ni kama watu wanaenda sokoni kwa mavazi walio vaa ..Lyamungo hiyo
Hahah!! Lakini ya jana nilishayamaliza usiku sana bhn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sababu jana ulikimbia mapema
Hahah!! Shem bhn...Wacha weee
Kumbe shem wewe umetokea kwenye mboga saba eeh hongera sana jamani huwezi kukumbuka chochote basi [emoji4]
Yupo busy kidogo ila soon atarejeaHahah!! Shem bhn...
Kwanza niambie huyu ndugu yangu 3D yuko wapi?
Msalimie yani mwambie nimemkumbuka sana aisee!Yupo busy kidogo ila soon atarejea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi sikumbuki nilishangaa nini pale FEZA boys
Zimefika usijaliMsalimie yani mwambie nimemkumbuka sana aisee!
Hahah!! Lakini ya jana nilishayamaliza usiku sana bhn
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asubuhi siunajua kunavyokua na jam ungeweza usione ataAfu mida ya popo si ungekuja asubuh
Sawa shemZimefika usijali
uwiiiii sio weye tu......nina machungu na hawa wazungu walioleta elimu yao...bora wangetuacha tuwe uchi tuweeeee phys ya advance mi mpka namaliza kuna topic zilikua zinanipiga chenga kabisaa yn....