Jambo ambalo lilikushangaza na hutolisahau baada ya kujiunga na elimu ya sekondari form 1

Jambo ambalo lilikushangaza na hutolisahau baada ya kujiunga na elimu ya sekondari form 1

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sababu jana ulikimbia mapema
[emoji23][emoji23] nimepata notifc yako tu nikaanza kucheka kabla sijaifungua...
 
Mie siku ya kwanza nimeenda kuripoti form 1, nikashangaaa kukuta mwalimu ni kavulana tu kama mimi...nikawaza huyu alirukishwa madarasa au mimi ndo nilicheleweshwa kuanza shule?!
 
Nakumbuka nilimaliza form 1 bila kuongea na MTU darasan coz kidhungu kilikuwa hakipandi pia skuwah kwenda chooni mpaka namaliza form 1 nilkuwa mwoga Wa watoto Wa mjini maana Mimi nilkuwa nimetoka bush na nikaenda kusoma shule ya private ya watoto Wa kishua
 
Nilkuwa nikiingia darasan asubuh kutoka mpaka muda Wa kurudi nyumban
 
kuna kitu inaitwa "touch' nadhani ni hiyo naweza kukumbuka (touch ni namna mwanaume kumshika mdada maungoni kama kwenye foreplay ), hii kitu ilikua na radha yake aisee.
 
Back
Top Bottom