Wa kanda ya ziwa wwNilishangaa eti hakuna ubuyu,barafu,glubiti,vibaragara,vibata,sungwi,dengu,kashata,etc
Wa kanda ya ziwa ww
Na we unavisomaga vya nini jamani?Dogo anaviweka huko wenzie wasiazime,,,siunajua dogo langu ni john kisomo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Embu niombe basi msamaha kwa shem kwani wewe huoni alivyonikalia pabaya?
Niko sambamba na wewe shem,bega kwa bega nijuze tu hizo mbichi na mbivuHahah!!
Wewe Jolie Jolie nini bhn....
[emoji23]
Tuwaachie wenyewe wanaita wasongolistaaaahh......cha kufia nini ndugu yangu[emoji1]
mimi sivisomagi hata hizo law of flotation, sijui Archimedes principle nazisikiaga tu kwenu[emoji23]Na we unavisomaga vya nini jamani?
mi kuna siku mwalimu wa math alitufundisha asubuhi kusolve swali fln la linear programing.......akasema jioni atakuja kutuuliza kama tunakumbuka au lah......sasa nikashinda siku nzima na meza ile calculation....mpka nikajiamini kabisa kwamba "sasa kitu kimekaa""[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me Nilikuwa nimemeza definition ya commerce
Sasa mshawasha ulikuwa kumsubiri teacher wa commerce aje aulize kwanza "what is the meaning of commerce? "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani siku alivyoingia nilifurahi balaa. Nikajikakamua kujibu halafu hata hakunisifia [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
ulivota taja tu hvo vitabu inaonesha wazi unamchora mwenzio[emoji849]Heee namuonaga dogo ana mavitabu makubwa sijui abort,nelkon,Lambert, university physics, BS, huku mimi kaka yake nina kibanga kampiga mkoloni,juma na uledi,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa basi shem usijari nitakujuza aiseeNiko sambamba na wewe shem,bega kwa bega nijuze tu hizo mbichi na mbivu
Hamna mkuu ananijua vizuri huyo[emoji23] kani pm eti mbona sijataja Roger muncusterulivota taja tu hvo vitabu inaonesha wazi unamchora mwenzio[emoji849]
[emoji23] Mungu anakuonamimi sivisomagi hata hizo law of flotation, sijui Archimedes principle nazisikiaga tu kwenu[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana...umefanya nimekumbuka hesabu za log na kusoma fofiga,zilinitesa hizi hesabu jaman duhmi kuna siku mwalimu wa math alitufundisha asubuhi kusolve swali fln la linear programing.......akasema jioni atakuja kutuuliza kama tunakumbuka au lah......sasa nikashinda siku nzima na meza ile calculation....mpka nikajiamini kabisa kwamba "sasa kitu kimekaa""
Sasa mwalimu alipokuja tu darasani akaniita "" we hapo konani njoo utukumbushe hesabu ya asubuhi""
Nikajisemea kimoyomoyo ""Leo mbuzi kaja kufia kwangu mimi muuza supu,, lazma ntang'oa hata demu leo kwa jinsi ntakavoshusha mambo pale ubaoni"".
Basi bhana nikajichomoa taratibu huku natembea mwendo ule wa wataalam wa math kama mnaufaham.......
Basi kufika pale ubaoni mwalimu kwanza akaanza nisifia jinsi nnavojiamini na watu wakapiga na makofi kabisa nkaona "" mambo si hayo sasa"......Basi mwalimu akaandika swali pale kama la asubuh tu lkn cha ajabu alibadilisha zile data zoote na kakiingereza ka ajabu ajabu akakaongeza pale na kunikabidhi chaki pale.
Hahahaaaaa sitaki kukumbuka nilivoaibika siku ile jamani[emoji23][emoji23]
Nilijikanyaga pale mikononi jasho jingi kila pozi linagoma.....dooooohh
Akaona sio mbaya akinitembezea mboko nne za nguvu za kumpotezea mda wake
ulivota taja tu hvo vitabu inaonesha wazi unamchora mwenzio[emoji849]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamna mkuu ananijua vizuri huyo[emoji23] kani pm eti mbona sijataja Roger muncuster
aaah waalimu wa math siku zote wanafanana tabia dunia nzima..........wanapenda sana tunavoumbuka ubaoni.[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana...umefanya nimekumbuka hesabu za log na kusoma fofiga,zilinitesa hizi hesabu jaman duh