proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
- Thread starter
- #21
kwan kuna ugumukufuga samakiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwan kuna ugumukufuga samakiii
Semenya wa ukaldayo acha vituko.Nilitamani sana kuja kuwa padre, nikasoma kabisa Seminary six years ila nilikuja kushindwa kuendelea baada ya kumkuta father Maghayo akimgegeda sister sebuleni.
Ulizima ndoto yangu we mgerasi.Semenya wa ukaldayo acha vituko.
Seminary gani ulisoma wewe? Na mwaka gani?Ulizima ndoto yangu we mgerasi.
watakumalizaTo be honest ukiacha wanawake, vilivyobaki ni material things tu kama electronics na vinginevyo
Ila wanawake kama wote (na sio kwa ubaya ni upendo tu)😂
Kwahiyo we mbusi ushasahau pale seminary ulipokuwa rector?Seminary gani ulisoma wewe? Na mwaka gani?
Ila hawawezi kuvumilia haya mambo achana nayoKwahiyo we mbusi ushasahau pale seminary ulipokuwa rector?
Njoo PM kwanza nina upwiru mwingi kwa sababu ya nofap na hivi sina ata demunakupenda pia napenda na hela zako boo😘
tulia umalize Nofap weweNjoo PM kwanza nina upwiru mwingi kwa sababu ya nofap na hivi sina ata demu
kwa kweli sio kwa huo mguu yaan utaniharibia nofap.comtulia umalize Nofap wewe
Natumaini hamjambo wana jukwaa na mnaendelea vyema
Katika harakati za kimaishs kuna mambo mbalimbali ulipania kuyapata au kuyafanya ila baadae likakushinda na ukaachana nalo kabisa ama ukapambana tu bila kukata tamaa lakini hola.
Yapo mambo mengi kama vile,
kupata ramani za kwenda abroad, Marekani, uingereza....Kukutana na kiongozi mkubwa wa kisiasa au kidini....Kumiliki hela nyingi, magari nyumba n.k........hii ndoto ya kila mtu.Kuwa na elimu kubwa PhD......Kukutana me au ke uliyempania siku nyingi lakini siku hiyo unajaribu lakini huna hisia kabisaa........Kupumzika siku za likizo au baada ya kumaliza mtihani lakini siku hiyo usingizi hauji kabisaa ........Kulima mashamba makubwa unakuja kushangaa mavuno kidogo.......usisite kufollow nofap
ungekula sistaNlitamani(gi) sana kua padre ila mzee akanikazia saivi nimegundua mzee ana akili sana