Jambo gani ambalo uliwahi kulipania kwa hamu kubwa kulipata baadaye likakushinda?

Jambo gani ambalo uliwahi kulipania kwa hamu kubwa kulipata baadaye likakushinda?

Nilipanga kunywa chui kubwa kreti 10, nikaishia 5 tu.


Natumaini hamjambo wana jukwaa na mnaendelea vyema

Katika harakati za kimaishs kuna mambo mbalimbali ulipania kuyapata au kuyafanya ila baadae likakushinda na ukaachana nalo kabisa ama ukapambana tu bila kukata tamaa lakini hola.

Yapo mambo mengi kama vile,
kupata ramani za kwenda abroad, Marekani, uingereza....​
Kukutana na kiongozi mkubwa wa kisiasa au kidini....​
Kumiliki hela nyingi, magari nyumba n.k........hii ndoto ya kila mtu.​
Kuwa na elimu kubwa PhD......​
Kukutana me au ke uliyempania siku nyingi lakini siku hiyo unajaribu lakini huna hisia kabisaa........​
Kupumzika siku za likizo au baada ya kumaliza mtihani lakini siku hiyo usingizi hauji kabisaa ........​
Kulima mashamba makubwa unakuja kushangaa mavuno kidogo.......​
usisite kufollow nofap​
 
Back
Top Bottom