juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahusiano kitu cha ajabu sana. Umekutana na wanao kata mauno,af unaanza kumkumbuka ambaye alkuwa hakati mauno, ha ha ha ha ha
Ndiooooo
Nilimnunulia simu ya gharama kwenye birthday yake tulivyokosana nikaichukua kwa lazima, Ile kupekua, nilikutana na ma vedio ya hovyo anatumia majamaa wengine roho iliniuma sana nikatamani ata nisingechukua Ile simu ningemuachia. Hadi leo nikikumbuka natamani hata nimfanyie kitu mbaya
Ninavyo visa vingi kwa kweli.
1. Nilimpiga mpz wangu kiasi Cha kumuumiza sababu nilimkuta anaongea na jamaa kwenye Giza. Kumbe n kaka ake mtoto wa mama ake mkubwa. Ana alama mdomoni mpaka leo
Aliponiambia sikutaka kumuamini. Baadae kuja kugundua ukweli daah inaniuma sana Hadi Leo.
Sasa hivi n rafiki yangu mkubwa, ameolewa na ana watoto watatu.
Ananiambiaga hajawahi kupigwa kama vile ktk maisha yake mpaka sasa.
Usicheke mpe pole mwenzio 😆[emoji23][emoji23][emoji23]hii comment imenifanya nicheke sana
Jino Kwa jino... Ubaya Kwa ubaya... Nini hiko..Ndiyo, na soon nitalipiza ‘ubaya kwa ubaya
Nitakutokea ndotoni nikifa...Ndiooooo
Demu alikuwa mtu wa dini sana,alikuwa anaSema kukata mauno sana ni dhambiMahusiano kitu cha ajabu sana. Umekutana na wanao kata mauno,af unaanza kumkumbuka ambaye alkuwa hakati mauno, ha ha ha ha ha
Kisa mauno nimemuacha mwanamke kweli wa maana sasa nakutana na wanawake waovyo sanaKhaaaa?!!! Yaani ujana una mambo ya ajabu sana
Usicheke mpe pole mwenzio [emoji38]
demu wangu mmoja hv alikuwa ananipenda sana tena sana nikawa nimemchoka maana alikuwa na shepu zuri ila sura, kumuacha ilikuwa ngumu nikampanga jama nikatengeneza fumanizi. ngoja ni stop ila najutia maana kaolewa ila nikiongea nae mpaka leo analaumu sana.
haja move on maana huwa anasema niende arusha kumlaKinachobakia ni maumivu tu hasa akishamove on
So mtoto wa mama mkubwa alikuwa anaangalia tu wakati dada yake anapigwa na wewe?
haja move on maana huwa anasema niende arusha kumla