Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

Mahusiano kitu cha ajabu sana. Umekutana na wanao kata mauno,af unaanza kumkumbuka ambaye alkuwa hakati mauno, ha ha ha ha ha

[emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]yaani mahusiano yana mambo ya hovyo sana
 

Duh pole sana mkuu!
 

[emoji23][emoji23][emoji23]inaelekea ulimpa kipigo kitakatifu
 
demu wangu mmoja hv alikuwa ananipenda sana tena sana nikawa nimemchoka maana alikuwa na shepu zuri ila sura, kumuacha ilikuwa ngumu nikampanga jama nikatengeneza fumanizi. ngoja ni stop ila najutia maana kaolewa ila nikiongea nae mpaka leo analaumu sana.
 

Kinachobakia ni maumivu tu hasa akishamove on
 
Nilimuacha mwanamke anayenipenda na kunisikiliza alikuwa tayari kwa lolote juu yangu. Alinialika kwenye graduation yake sikwenda ikatokea sherehe nyingine sikutokea tena kisa starehe hasa pombe. Ndiyo ikawa mwisho huo.

Mwingine tuliachana baada ya yeye kusafiri nikahamishia penzi kwa jirani yake nikafa nikaoza kumbe alikuwa kahaba mmoja tu. Bado huyo mwanamke akanifuata akanibembeleza kuwa napotea na nimesahau nilipotoka naye, akanifuata na kunisihi niachane na kahaba sikusikia basi ikawa mwisho.

Mwingine tulikuwa na mahusiano primary mpaka chuo, kutokana nakuipa kipaumbele pombe na anasa, nikaitwa niende mlimani nikamfariji nikajitia mjuaji hiyo ni baada ya kumsumbua sana kuna muda nilitoka na marafiki zake.

Mikasa ni mingi yakuumiza wadada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…