Jambo gani la kijinga ulikuwa unatamani litokee ukiwa mtoto?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
nilikuwa nikiona ndege(aeroplanes) zinapita natamani siku moja idondoke jirani na homu ili niione kwa karibu na niokote vitu.

watoto wa kitaa, ujinga unawazwa tangu hatujui mema na mabaya.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
nilikuwa napenda ndege zianguke
nilikuwa napenda watu wapigane
nilikuwa napenda Vita itokee tz
nilikuwa napenda kuona ngumi za wqzazi
nilikuwa napenda kuchungulia na niuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nlimpiga mwalimu na manati shule kipindi nipo darasa la pili, kichapo nlichopata kwa mshua nyumbani, sio cha dunia hii, nliomba kiyama kifike siku hio hio [emoji22]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
nilikuwa napenda ndege zianguke
nilikuwa napenda watu wapigane
nilikuwa napenda Vita itokee tz
nilikuwa napenda kuona ngumi za wqzazi
nilikuwa napenda kuchungulia na niuuu
Hili la ndege tulikuwa pamoja. Yaani nilikuwa nawaza ktk ndege kutakuwa na mtu mwenye brief case yenye pesa na hiyo ndo ilikuwa target yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…