Jambo gani la kijinga ulikuwa unatamani litokee ukiwa mtoto?

Kwani ticha ulimpiga makusudi?
Nlitoroka half time kwenda kuwinda ndege na rafiki yangu, kurudi siku ya pili mwalimu akatuchapa mbele ya hadhara, muda wa assembly shule... Nikamlia mingo, muda wa kutoka school nikamchapa ya kichwa, akatuma wanafunzi wanikamate, wanafunzi kama watano na wao walichezea za vichwa, ila walifanikiwa kunitia nguvuni... Nikachezea tena stiki za kutosha tu, halafu wakanipeleka home... Mshua nlivofika nae akanipa za kutosha pia....... Ila god bless my father, bila yeye nisingesoma mpaka chuo kikuu, pengine ningekuaga hata jasusi[emoji122]
 
Hahaahahah ulikiwa balaa
 
Mm mpka leo sijui nilikua wapi wakati wenzangu wanakua watundu mpka wanavunja mikono au miguu yao nilikua nataman sana nivae muhogo hio ingeweka rekodi tu ..
 
Wakuu kulikuwa na mtoto mzuri anaitwa lily.alikuwa ananikonyeza akikaa mbele yangu anakuwa ananigusagusa na miguu ishara ya mapenzi. Kumwambia sio tu siwezi Bali sijui.

Nilikuwa natamani itokee kupatwa kwa jua dunia nzima iwe giza nipate fursa ya kumbaka mtoto mwenzangu mzuri wa kihaya.
Hahahaha
 
Mm mpka leo sijui nilikua wapi wakati wenzangu wanakua watundu mpka wanavunja mikono au miguu yao nilikua nataman sana nivae muhogo hio ingeweka rekodi tu ..
Hahahaha mkuu mtoto mwenye muhogo alikuwa superstar zaidi ya Messi kwenye benchi la majeruhi barca.
 
[emoji23]naunga mkono hoja mkuu nilikuwaga nawaza idondoke niokote vitu.

mara unatamani kuota magaga kama mtu fulani
mara unatamani kwenu kungekua kwa akina fulani

ndo mana naamini mtu akiwa na mawazo hayo bado hajakua
 
Kweli mkuu. Mtu akikwambia unamambo ya kitoto ni haya.
 
Tajiri wa mtaa alikuwa dereva wa gari la umma. Tulijua ni lake. Kila mtu alitamani Yule jamaa awe baba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…