Nlitoroka half time kwenda kuwinda ndege na rafiki yangu, kurudi siku ya pili mwalimu akatuchapa mbele ya hadhara, muda wa assembly shule... Nikamlia mingo, muda wa kutoka school nikamchapa ya kichwa, akatuma wanafunzi wanikamate, wanafunzi kama watano na wao walichezea za vichwa, ila walifanikiwa kunitia nguvuni... Nikachezea tena stiki za kutosha tu, halafu wakanipeleka home... Mshua nlivofika nae akanipa za kutosha pia....... Ila god bless my father, bila yeye nisingesoma mpaka chuo kikuu, pengine ningekuaga hata jasusi[emoji122]