Jambo kubwa alilofanya Ndugai Jimboni mwake ni lipi?

Jambo kubwa alilofanya Ndugai Jimboni mwake ni lipi?

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Wengi wanamkumbuka kwa kuchukia washindani wake.

Ama iwe ndani ya Chama au wa nje ya Chama. Hapendi kabisa kushindana.

Huyu ana mbinu ya KiMasai ukimshinda ni bifu kubwa mno hivyo hata fimbo anakulamba nayo ukikaa kizembe zembe.

Kwa sasa mjadala ni mkubwa Jimboni kwake.

Wanatamani kama vile aondoke tu ale hela za USpika na then ubunge wapate mtu mwingine.

Ndugai hana mpya tena - hana lolote la kukumbukwa nalo Zaidi ya yale mabaya ikiwemo kuchukia upinzani na kuongoza bungeni vibaya kuliko MaSPika wote!

NB - current update!

Leo Tarehe 01 Aprili, 2022 jioni itatangazwa Hospitali aliyolazwa Ndugai pale katika Mkutano wa CCM ukumbi wa Jakaya Kikwete huko Dodoma.
 
alimnyima Lissu hela yake , alikua mstari wa mbele kuua upinzani, alikua anapokea maelekezzo ya stone, alikua anauwezo wa kufanya lolote, alimnyanyasa Asaad , alijiona Mungu mtu etc, etc , etc hayo aliyaweza sana pale Kongwa aka usupika
Pia anakumbukwa kutibiwa kwa hela nyingi kuliko kiongozi yeyote wa kisiasa aliyewahi kutibiwa nje ya nchi!
 
Ndugai alikuwa akizuia maendeleo makusudi akiamini Kongwa ikijanjaruka atakosa ubunge. Alimpiga ajali DED Izengo Ngusa baada ya kutaka kuleta maendeleo.

Kuna jamaa alijenga lodge kali sana pale. Ikaonekana hajapata idhini kwa Ndugai. Ndugai akahujumu kwa kujenga msikiti mbele ya lodge. Pale pakawa hapalaliki 🤣🤣🤣
 
Hayo yote kwangu hayana maana kwa sasa endapo sijui yuko wapi!.

Kama amekufa, katunzwa sehemu, anaumwa au lah!, Maana kuna tabia nowadays ya kumtupiw maneno hata aliyekufa wkt aitupi faida.

Unaacha kumsema babako akiwa hai unamsema akiwa kafa, ahahahaa...
 
Wagogo ni wajinga ni wajinga sana.

Nasemaga viongozi wote wa CCM wanaubinafsi ndani yao, mtu umekaa kwenye muhimili mkubwa wa nchi unachindwa kuuganicha wilaya yako na wilaya nyingine kweli?

Kiufupi kikubwa kwa Ndugai ni kusimamia lami na Taa barabarani.
 
Kunahaja ya Watanzania kuelimishwa tena kuhusu majukumu ya Bunge, Mahakama na Serekali. Kwa sababu nachokiona wengi wanawatwisha wabunge majukumu ya Serekali.
 
Amesaidia kupeleka maji kwa kila Kaya ya mpiga kura jimboni kwake.

FB_IMG_1620883433830.jpg
 
Ndugai alikuwa akizuia maendeleo makusudi akiamini Kongwa ikijanjaruka atakosa ubunge. Alimpiga ajali DED Izengo Ngusa baada ya kutaka kuleta maendeleo.

Kuna jamaa alijenga lodge kali sana pale. Ikaonekana hajapata idhini kwa Ndugai. Ndugai akahujumu kwa kujenga msikiti mbele ya lodge. Pale pakawa hapalaliki 🤣🤣🤣
Aisee
 
alimnyima Lissu hela yake , alikua mstari wa mbele kuua upinzani, alikua anapokea maelekezzo ya stone, alikua anauwezo wa kufanya lolote, alimnyanyasa Asaad , alijiona Mungu mtu etc, etc , etc hayo aliyaweza sana pale Kongwa aka usupika
Aisee, umenikumbusha tn, yaani Andunje na stone wanamdhalilisha pro Asad, anaeheshimika duniani!
 
Back
Top Bottom