Jambo kubwa alilofanya Ndugai Jimboni mwake ni lipi?

Jambo kubwa alilofanya Ndugai Jimboni mwake ni lipi?

Wengi wanamkumbuka kwa kuchukia washindani wake.

Ama iwe ndani ya Chama au wa nje ya Chama. Hapendi kabisa kushindana.

Huyu ana mbinu ya KiMasai ukimshinda ni bifu kubwa mno hivyo hata fimbo anakulamba nayo ukikaa kizembe zembe.

Kwa sasa mjadala ni mkubwa Jimboni kwake.

Wanatamani kama vile aondoke tu ale hela za USpika na then ubunge wapate mtu mwingine.

Ndugai hana mpya tena - hana lolote la kukumbukwa nalo Zaidi ya yale mabaya ikiwemo kuchukia upinzani na kuongoza bungeni vibaya kuliko MaSPika wote!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hana alichofanya
Screenshot_20220328-162953_Google.jpg
Screenshot_20220328-162939_Google.jpg
 
Jimboni kwake Ndugai atakumbukwa kwa kumcharaza bakora mwana CCM mwenzake halafu akampoza kwa tujihela hela kidogo ili mwana CCM yule mpenda mserereko asiende kuripoti police.
 
Back
Top Bottom