Hakosei huyoNinae mwamini ni maharage ya ukweni peke yake
Mapepo lazima yatoke naona wazanzibar wanajizatiti kuiteka Tanzania na Tanganyika, ngoja tuone huu MwakaSitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni
Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. End
Mganga wa kienyeji naona Una bahatisha bahatisha kama kawaida wazee wa shirikiSitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni
Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. End
Huenda ndo huyuhuyuNinae mwamini ni maharage ya ukweni peke yake
Huu sio mwandiko wake maharage ya ukweni ametuliaHuenda ndo huyuhuyu
EwalaWee jamaa umekuwa mpuuzi sana. Ni wa kupuuzwa tu.
Tupange zuri baya sio tuombe tuu[emoji848]Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni
Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. End
Lema anaogofya zaidiLema: Mimi na Nyumba yangu Tutamtumikia Bwana!
Alafu siku zote sipendi code zifunguke. Wenye kujuwa wameelewa.Mganga wa kienyeji naona Una bahatisha bahatisha kama kawaida wazee wa shiriki