Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

2023 to 2025 Mungu anazungumza na taifa ahadi zake ni ndio naamini
 
Tuliombee Taifa letu Mapenz ya Mungu yakatimie. Sio ya wanadam sisi sote tutakufa siku moja ila Tanzania na Tanganyika itakuwepo
 
 
Mafisadi watalia na kusaga meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…