Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,547
- 5,940
.....
Mungu wa miujiza Mungu wa baba zetu Ibrahim, Isaac and Jacob tunakuomba utupitishe salama Fanya maamuzi Wewe na dam isimwagike ktk hili Taifa kwa uchu wa madaraka na tamaa za uongozi. Mungu mapenz Yako yatimie na Wala sio mapenz ya wanadam. Tumepaka dam ya mwana kondoo ktk malango yetu ili malaika wako atakapo pita usiku mzito tukaziponye roho zetu na familia zetu.Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.
Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.
Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.

DP.World hiyo ishapitaPray for Tz
Yu wapi Kassim?Huwa tunaona ma picha yakijasusi basi hii ni zaid ya hilo picha ubaya ubwela
👆🏼👆🏼Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.
Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.
Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.
Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.
Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
From 2023 Today is 2025 unaweza jadili peke yakoSitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.
Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.
Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.
Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.
Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
How are you leeeeee
The heaven will open for Tanzania 🇹🇿 🙏 we pray for our hero. Tunaombea vikosi maalumu na majasusi imara walio apa kuilinda Tanzania kwa dam na nyama zao,, tuna liombea jeshi letu tukufu ktk east Afrika jeshi hili la wana wa Nyerere eee Mungu liongoze ktk kipindi hiki, tunawaombea wakuu waulinzi na usalama ktk kila idara wenye uzalendo na hili taifa Baba wakumbuke wainue.. tunawaombea wazee wetu mliobaki nakusimamia haki haki na umoja wa hili Taifa Mungu awape umri mrefu wenye nguvu na maisha marefu mmethibitisha uwepo wenu ndio nguvu yetu. We love you 😍Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.
Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.
Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
Kwan kuna nini leo😃The heaven will open for Tanzania 🇹🇿 🙏 we pray for our hero. Tunaombea vikosi maalumu na majasusi imara walio apa kuilinda Tanzania kwa dam na nyama zao,, tuna liombea jeshi letu tukufu ktk east Afrika jeshi hili la wana wa Nyerere eee Mungu liongoze ktk kipindi hiki, tunawaombea wakuu waulinzi na usalama ktk kila idara wenye uzalendo na hili taifa Baba wakumbuke wainue.. tunawaombea wazee wetu mliobaki nakusimamia haki haki na umoja wa hili Taifa Mungu awape umri mrefu wenye nguvu na maisha marefu mmethibitisha uwepo wenu ndio nguvu yetu. We love you 😍
REFORMS are inevitable.✍️Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.