Jambo likitangazwa na Waziri, Jeshi la Polisi linaweza kutengua?

Jambo likitangazwa na Waziri, Jeshi la Polisi linaweza kutengua?

Whatever... Tangu tulipopewa taarifa kuwa akaunti hii unayotumia ni ya timu hapo Lumumba... Tunajua tunabishana na ukoo unaotapanya Mali zetu.
kwani haupo DM gentleman?🤣

kule tunakubaliana kublock wote wanaokemea ufisadi wa heche na wote wanaoiponda chadema. Kwani hujui hilo?🤣

team wafuata mkumbo is real mdau 🤣

admin ni Mshana Jr na mratibu wa hiyo nonsense ni Erythrocyte wacheki tu usiogope, kuna kahela ka bando dm unapewa 🐒
 
Mikutano /mikusanyiko yote inasimamiwa na katiba ambayo ndio sheria mama , ni haki ambayo haiombwi.

Hao akina Katambi, Misime na Wambura ni vidampa wa CCM waliamua kuzuia mikutano kwa amri haramu baada ya kuona chama chao kimechokwa na hakina ushawishi tena kwenye siasa za jukwaani na hoja licha ya kulaghai watanzania kilipigiwa kura kwa 98%.
 
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi ambaye ndiye waziri anayesimamia pia jeshi la polisi, Patrobas Katambi, alitangaza bungeni pamoja na mambo mengine, agizo kwa IJP kusitisha mikutano yote ya vyama vya siasa nchini.

Jeshi la polisi kupitia msemaji wa jeshi hilo limetangaza kuondoa marufuku hiyo iliyotangazwa na waziri Katambi bungeni.

Jee kiprotokali zuio la Waziri linaweza kutenguliwa na viongozi wa jeshi la polisi?

Kwa kuwa waziri alitoa maagizo yake akiwa bungeni, si lazima pia utenguzi wa maagizo hayo ukatolewa bungeni pia?
Hivi Katambi si alitoa agizo kwa IGP wa mapolisi akiwa bungeni?
Je, IGP alitoa tamko lolote? Kama hakutoa ni kwanini!?
Je, kwa sasa nani katoa tamko kuondoa zuio?

WaTanganyika tuamke!
 
Back
Top Bottom