Jambo likitangazwa na Waziri, Jeshi la Polisi linaweza kutengua?

na nitakua nimekuvuruga na kukukoroga kweli kweli,
na ulivyo empty head, ni balaa zaidi 🀣

I'm sorry for that gentleman 🀣
Whatever... Tangu tulipopewa taarifa kuwa akaunti hii unayotumia ni ya timu hapo Lumumba... Tunajua tunabishana na ukoo unaotapanya Mali zetu.
 
Whatever... Tangu tulipopewa taarifa kuwa akaunti hii unayotumia ni ya timu hapo Lumumba... Tunajua tunabishana na ukoo unaotapanya Mali zetu.
kwani haupo DM gentleman?🀣

kule tunakubaliana kublock wote wanaokemea ufisadi wa heche na wote wanaoiponda chadema. Kwani hujui hilo?🀣

team wafuata mkumbo is real mdau 🀣

admin ni Mshana Jr na mratibu wa hiyo nonsense ni Erythrocyte wacheki tu usiogope, kuna kahela ka bando dm unapewa πŸ’
 
Interview aliyofanya juzijuzi hapa IGP mstaafu Mahita alikosoa "vikali" IGP kupokea maagizo kutoka kwa waziri badala yake ni wale top 3 tu ndiyo wanastahili kumuagiza.
Nafikiri sasa kwa mlengo huo, ilitakiwa IGP ndio atangaze na sio Msemaji wa Polisi.
 
Mikutano /mikusanyiko yote inasimamiwa na katiba ambayo ndio sheria mama , ni haki ambayo haiombwi.

Hao akina Katambi, Misime na Wambura ni vidampa wa CCM waliamua kuzuia mikutano kwa amri haramu baada ya kuona chama chao kimechokwa na hakina ushawishi tena kwenye siasa za jukwaani na hoja licha ya kulaghai watanzania kilipigiwa kura kwa 98%.
 
Hivi Katambi si alitoa agizo kwa IGP wa mapolisi akiwa bungeni?
Je, IGP alitoa tamko lolote? Kama hakutoa ni kwanini!?
Je, kwa sasa nani katoa tamko kuondoa zuio?

WaTanganyika tuamke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…