Jambo Limezua Jambo: Mifano Hai katika Siasa zetu...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Kama wewe umekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa zetu unaweza kukumbuka jambo moja ambalo lilianzia padogo lakini mwisho likaishia kuwa jambo kubwa kwelikweli....Sakata la Dowans ni mfano mmoja liliishia kuondokana waziri mkuu...

Jambo gqni liliwahi kuanzia padogo likaja na makubwa...nitarudi.
 
Kesi ya Ugaidi.
 
Unamaanisha kama ninavyo fikiria au niongezee ufikirio
 
Embu fafanua...jambo lipi limezua jambo...

Tuliharibu shamba lake,aliyetatibu akapandishwa cheo DC hadi RC kazi nzuri.

Tukaharibu Hotel yake na biashara zake kumdhoufisha kiuchumi na kisiasa.

Tukamfunga kwa kusabanisha kifo cha Asquiline aliyempiga risasi hana kosa wala hatia.

Tukanunua wabunge,madiwani na viongozi wote tumbakishe mpweke.

Tukawaingiza bungeni wabunge 19 bila ridhaa wala baraka za chama.

Tukahakikisha hana mwakilishi mjengoni

Yote hayo hayatoshi!.

Tukamtengenezea kesi ya ugaidi,tunataka kumpoteza kabisa asiwepo,asisikike wala asionekane hatutaki kusikia mambo ya katiba mpya tunataka tutawale tutakavyo.

Mipango yetu yote ipo chini ya kamanda shupavu na Shujaa kweli kweli ACP Kingai,Mahita na Luteni Urio si hao tuna vizibiti vya hali ya juu eg Shangazi kaja na Jaji wa kimkakati.
 
Kama wewe umekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa zetu unaweza kukumbuka jambo moja ambalo lilianzia padogo lakini mwisho likaishia kuwa jambo kubwa kwelikweli....Sakata la Dowans ni mfano mmoja liliishia kuondokana waziri mkuu...

Jambo gqni liliwahi kuanzia padogo likaja na makubwa...nitarudi.
Magufuli alitoa kauli mchana jioni lissu kapigwa risasi 34
 
Kama wewe umekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa zetu unaweza kukumbuka jambo moja ambalo lilianzia padogo lakini mwisho likaishia kuwa jambo kubwa kwelikweli....Sakata la Dowans ni mfano mmoja liliishia kuondokana waziri mkuu...

Jambo gqni liliwahi kuanzia padogo likaja na makubwa...nitarudi.
Covid-19
Ilianza kama Mzaha, ikaitwa ni tu MafUa tu
Mwishowe ikatembea na Vigogo kadhaa including Yule Mzee Mwenda kuzimu
 
Back
Top Bottom