Jambo Limezua Jambo: Mifano Hai katika Siasa zetu...

Jambo Limezua Jambo: Mifano Hai katika Siasa zetu...

CCM kuumana umana. mipasuko hadharani halafu wanasingizia"kutoka juu" au " hii ni awamu nyingine" kana kwamba Ilani(changa:la macho)yao yamebadilika.
Wananchi sio wajinga leo, hayo mambo yatazua kinyan'ganyiro ambacho hakijawahi kutokea, tunajua Zambia kilichotokea
wacha waendelee kuhadaa umma kwamba RaisiMagufuli alikuwa ndio mchawi.
Kura itapigwa.
 
Back
Top Bottom