Huyu Mzazi mwenzie ni mwehu...
Kwanza, kashasema kwamba huko Zambia amepata kazi itakayolipa hela nyingi, which means hatakuwa na shida ya hela.... kwa maana nyingine ni kwamba ataweza kumtunza mtoto wake bila matatizo...
Mi naona huyo mama hasemi ukweli... Sawa mume wake amefariki, lakini kwa sheria za sasa hakuna ndugu ambaye yuko entitled kukunyang'anya mali za mume wako. Kama hana nguvu za kufatilia mali za mume wake, nguvu za kurafuta kazi Zambia amezitoa wapi??..Aggggrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.... Some women bwana....:mad2::mad2::mad2:
Tumsifu Yesu Kristu........
Mkuu there is nothing like that kwa familia zetu za kiafrika...nadhani hata za kizungu ni ngumu ndo maana kuna sperm bank...sasa wewe upo physically halafu unamwongelea mtoto wako kama vile ni wa mtu mwingine bana?
hebu mchukue mpatie matibabu sahihi atapona tu uwezo si unao? kama ni mtoto tu na mama yake anachapa lapa, sidhani kama kuna tatizo, mtunze huwezi kujua atakuja kukufaa nini huko mbele!
Tumsifu Yesu Kristu........
amtunzeje na mkewe kagoma? jamani muwe mnatufikiria na sie wake zenu tunayachukuliaje haya, hawa watu wanatakiwa wapange mipango ya kulea mtoto wao wenyewe jinc walivyopanga kuwekeana mbegu? akimlazimisha mkewe bila ridhaa yake ujuwe huyo mtoto atapata manyanyaso yote anayosemwa kwa mama wa kambo....wewe mtoa thread na mama watoto wako mpange mjue mtoto mumpeleke wapi kama mkewe hataki kulea, mcmbebeshe mzigo wa dhambi za mumewe.
Jamani Mrs sasa ndo yameshatokea, huyo Mkewe inaonekana ana huruma kabisa si ameseam angemtafutia hata kazi? damu ni nzito kuliko maji it doesnt matter kama atanyanyaswa au vipi muhimu ni kwamba huyo mtoto apate malezi ya walau baba yake, walau apate matuzno na kutibiwa.....huyo mkewe akimnyanyasa kisha baadaye akaja kuwa 'mtu wa maana' ataweka wapi uso wake?
So la msingi bado ambembeleze mkewe....amlee kama mtoto yatima tu....kisha atapata BARAKA za Mwenyezi Mungu kwa kufanya hivyo...
Subiri kwanza...
mkiwa mna mikataba kama hii huko kwa vimada wenu muwe mnafikira na madhara yake, sio tu coz kavaa shanga zakichina bac mnayasahau yote.
Mkuu uko tayari kuwekeza dola kiasi gani katika biashara kama hiyo? Kama inalipa basi jaribu kuangalia angalia huko mitaani. Wapo watoto kibao wanaoweza wengine kuja kuwa akina Asha Rose!!:A S 8:
Mimi nadhani hii story ni fiction na ndiyo maana Uporoto anakataa kila ushauri ambao amepewa na wadau.
1. Unawezaje kufanya hicho kitu tena kwa Ex GF wako na wakati umeoa? Dhambi ya kutembea nje na dhambi ya kula matapishi yako at the same time? Ubongo wangu mdogo umegoma kukubaliana na hilo.
2. Huyo mke wa Uporoto ni malaika anayeishi duniani. Kwanza aliweza kutumia muda wake kumsikiliza mumewe (aliyecheza mchezo wa kipuuzi kiasi hicho) na pia akakubali kumsaidia huyo mtoto kwa vile ni malaika. Sasa wanataka (Uporoto na huyo ex GF) kumpatia adhabu nyingine kwa huo wema wake? No no .....please:nono::nono::nono::nono:
Msimamo wangu: Mtoto huyo lazima alelewe na mama yake (labda kama amekufa) na Uporoto alipe gharama za kumtunza mtoto kwa kulipia huo ujinga wake wa kugawa gawa hovyo mbegu za uumbaji:mad2::mad2::mad2:
Mkuu nimekusoma unachomaanisha apo, lakini pia tumfikiria huyo mtoto.....kumlazimisha alelewe na mama yake wakati ameshaonyesha kuwa HAMTAKI, ni kumpa guarantee kwamba anaweza hata kumtupa huko njiani akienda Zambia,
Tujali maslahi ya kiumbe asiye na kosa hapo.... and you are right, kwa uzoefu ni kwamba watoto wa namna hii, wanakuja kuwa watu 'wa maana' sana....sasa sio vizuri kuwachukulia kama 'watoto baki' kiasi hicho.

upo na mie, huyo nadhani ni zaidi ya malaika, yote hayo bado ana moyo wa kumtafutia kazi ili asiende huko zambia lakini mama mtoto hakubalianai na hilo, mke wa mporoto ni wa kipekee!
Jamani Mrs sasa ndo yameshatokea, huyo Mkewe inaonekana ana huruma kabisa si ameseam angemtafutia hata kazi? damu ni nzito kuliko maji it doesnt matter kama atanyanyaswa au vipi muhimu ni kwamba huyo mtoto apate malezi ya walau baba yake, walau apate matuzno na kutibiwa.....huyo mkewe akimnyanyasa kisha baadaye akaja kuwa 'mtu wa maana' ataweka wapi uso wake?
So la msingi bado ambembeleze mkewe....amlee kama mtoto yatima tu....kisha atapata BARAKA za Mwenyezi Mungu kwa kufanya hivyo...
amtunzeje na mkewe kagoma? jamani muwe mnatufikiria na sie wake zenu tunayachukuliaje haya, hawa watu wanatakiwa wapange mipango ya kulea mtoto wao wenyewe jinc walivyopanga kuwekeana mbegu? akimlazimisha mkewe bila ridhaa yake ujuwe huyo mtoto atapata manyanyaso yote anayosemwa kwa mama wa kambo....wewe mtoa thread na mama watoto wako mpange mjue mtoto mumpeleke wapi kama mkewe hataki kulea, mcmbebeshe mzigo wa dhambi za mumewe.
mtu akiamua kutupa uzao wake adhabu ni yake, sasa anataka nani amlelee wakati alibeba mimba/zaa mwenyewe, kwani walimshirikisha mke wakati wakikubaliana hayo?....kila mtu anaelewa mtoto hana kosa, mtoito huyo huyo ana amam yake mzazi na baba yake mzazi, kwanini hao wackubaliane juu ya kumlea mwanao walieshirikiana kumleta dunianai mpaka mje mumpe stress huyu mke alietulia ndani kwake?...kila mtu atauchua mzigo wake mwenyewe.......
Ingawa mkataba wenu wa mwanzo kidogo unafunga ..kwa vile baba wa mtoto hayupo duniani sidhani kama wewe utajisikia vizuri mtoto wako damu yako uone anateseka mitaani..Mhudumie apone kama una uwezo...kisha kaa nae na umtunze kwa mapenzi yote..
Hizo ndio dhawabu zenyewe huwezi jua zinakuja kwa njia ipi..
Uwe na moyo mkuu
amtunze kwani mama yake kafa?Ingawa mkataba wenu wa mwanzo kidogo unafunga ..kwa vile baba wa mtoto hayupo duniani sidhani kama wewe utajisikia vizuri mtoto wako damu yako uone anateseka mitaani..Mhudumie apone kama una uwezo...kisha kaa nae na umtunze kwa mapenzi yote..
Hizo ndio dhawabu zenyewe huwezi jua zinakuja kwa njia ipi..
Uwe na moyo mkuu jinsi navyopenda watoto sipendi kushuhudia mtoto anateseka