Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
maisha yangekuwa marahic kihivyo mbona ingekuwa raha sana......
Maisha siku zote ni rahisi binadamu ndo mnayafanya yawe magumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maisha yangekuwa marahic kihivyo mbona ingekuwa raha sana......
ndo ivo sasa, mojawapo aliyezaa naye anambebesha baba mtoto zamu yake na yeye,,,,,si alishabeba mtoto akiwa mdogo?
Naichungulia thread kwa mbali maana kila kukicha tunasikia jipya......Kiongozi......upo key gani apo?:A S-smoking::coffee::horn:
ishu ilianza kwa baba kufariki wa ndoa(bandia kwa mtoto) akamfata baba waliekubaliana kukagana mbegu atoe matunzo, ikaja amepata kazi zambia so anataka mke wa mporoto ndio amtunzie mtoto, tukiuliza kwanini mke wa mporoto kwasasa wakati yeye ndio atajikimu vizuri kifedha na bado mporoto atatoa malezi?.....ngoja mporoto aje atueleze zaidi.
:confused2:
okay, sasa labda niulize tu kwa nini HUTAKI kwamba huyu mke wake Uporoto amlee huyo mtoto?
kaka Maane samahani! nilimiss hiyo point...kauli ya mke ni ya utata/sio nzuri!...
lakni pa1 na hayo nacctiza mama mtoto alee mtoto wake mwenyewe akishirikiana na mzazi mwenzie, hivi kwanini wanawake tukae tukubali kwamba mwanaume kuzaa nje na kukuletea mtoto ulee kwao ni sawa na tunataka kubariki ili jambo?...ckubalianai nalo kabisa, waliozaa na watunze wenyewe, nitakachokubaliana nacho hapo ni kwa mr kulea huyo mtoto asiye na hatia lakni sio huyo mwanamke kuniletea mie nimlelel...hellll no.
nimekubali ndio mana wewe nimekupa ruhusa ya ulea ukija jioni nakutimizia haki yao.
Kwa nini amlee wakati ana mama na baba wa pili baada ya yule wa kwanza kutangulia? Kwanza huyo mama wa mtoto ni mpumbavu kwani Uporoto angeweza kumkataa huyo mtoto. Sasa huyo baba (sijui anaumwa nini) kakubali kubeba mzigo (nje ya makubaliano) na kwa kukosa aibu anatafuta watu wa kumsaidia kubebe mzigo wake mwenyewe. Mabaya zaidi anayetafutwa ni victim wa hayo matendo yao. Hivi wewe ungeletewa story inayokaribia hiyo ingekubali??
:closed_2::closed_2::closed_2:
...wengi wenu mmeangukia kwenye mtego kama aliotegwa nao Uporoto01.
Swali ni; Huyo mtoto (5yrs Old) anastahiki kulelewa na nani?
haijalishi anaumwa au la,...
Muwe makini na hizi Mind Games.
...wengi wenu mmeangukia kwenye mtego kama aliotegwa nao Uporoto01.
Swali ni; Huyo mtoto (5yrs Old) anastahiki kulelewa na nani?
haijalishi anaumwa au la,...
Muwe makini na hizi Mind Games.
mkuu kwanza pole kwa Swaum,
swali jengine ni kwamba huyo mtoto kwa sasa hivi ni wa NANI? tukishajua ni wa nani, tutajua anastahili kulelewa na NANI hasa.....
Kisheria mtoto sio wake .....kibiologia mtoto ni wake haijalishi kwa "sasa ivi" au kwa zamaniswali jengine ni kwamba huyo mtoto kwa sasa hivi ni wa NANI? tukishajua ni wa nani, tutajua anastahili kulelewa na NANI hasa.....
hahaha mkuu DC inabidi nikuchukulie kwa uangalifu manake leo imeshanicost unyumba ujue?:becky:
lakini watu si walisema damu nzito kuliko maji? kweli unaweza kumkataa mtoto ambaye una uhakika ni wa kwako kwa sababu yeyote ile? kwangu ni ngumu!
Pole Kaizer kwa kukosa raha ya nyumbani kwa leo, siku nyingine uwe makini...ha ha ha! Angalia isije kuwa extended. I am out of here japo moyo wangu leo umeumia sana. Wababa/Wanaume mara nyingine muwe waangalifu mnapoombwa vitu ambavyo vina utata! We unagawaje mbegu zako hovyo hovyo! Ona sasa unatufanya watu wote tunaumia hivi! Ukiingia mikataba kama hii isiwe akili umeweka kwenye kichwa cha...peka yake!
Uporoto when you are thinking of "your" daughter think of that strong woman God gave you. Please do not hurt her more
I am off
Uporoto wewe na Mama yake mkishindwa kumlea mtoto nileteeni ..full detail kutoka kwa DR nijue pa kuanzia naona mnaumiza vichwa wakati mtoto ni zawadi toka kwa mungu :glasses-nerdy:
mtoto hajakataliwa, baba kamkubali mtoto na matunzo kwa ujumla...anaeshindwa malezi ni mama mzazi na ndio mnamsapoti akwepe jukumu la mwanae wa kumzaa?...khaaa....makubaliano yao ya kuombana mbegu yalikuwa baina yao wawili iweje leo mwngne abebeshwe tatizo?...upande mwingine wa shs kama huyu baba(mporoto) na leo yeye angetaka kwenda kumchukua mtoto wake wakati mume wa huyo mama (hawara) yupo hai hii hali ingekuwaje?
Nyamayao,
Ni kweli kuwa mtoto hajakataliwa, Tatizo ni huyo mama aliyeshindwa malezi, Mimi nakubaliana na mawazo ya Kaizer , Fidel, Gaijin na wachangiaje wengine ambao wanamuonea huruma huyu mtoto, Sina imani na mama mzazi katika kulea mtoto!!, Mporoto hajachelewa ,atafute namna ya kulea mtoto bila kumbugudhi mkewe, kama my wife wake atakubali ni vyema zaidi, na iwapo atakuwa negative atafute altenative nyingine ila asimwachie mtoto huyo EX GF wake.
na mie kwa kuongezea tu, nimeckitika na hii thread kuona wanaume zetu jinc wanavyochukulia cmple kutuumiza mioyo ye2, kwao hili ni jambo la kawaida na lawama wanamshushia mke wa watu acye na kosa hata kidogo....hapo pamenickitisha sana..n.dio ndoa zetu hizi unaambiwa kwa ""mila/ desturi zetu"" hapo mke angetakiwa amtunze huyo mtoto...aisee wacha nikapumzike kabisa.