Jambo limezua Jambo.

Jambo limezua Jambo.

ndo ivo sasa, mojawapo aliyezaa naye anambebesha baba mtoto zamu yake na yeye,,,,,si alishabeba mtoto akiwa mdogo?

nimekubali ndio mana wewe nimekupa ruhusa ya ulea ukija jioni nakutimizia haki yao.
 
Kiongozi......upo key gani apo?:A S-smoking::coffee::horn:
Naichungulia thread kwa mbali maana kila kukicha tunasikia jipya......
Mi bana hizi ishu za mtu ujiite baba au mama halafu huna responsibility hata haziniingii akilini...
Haki bila wajibu hakuna haki hapo!!
 
ishu ilianza kwa baba kufariki wa ndoa(bandia kwa mtoto) akamfata baba waliekubaliana kukagana mbegu atoe matunzo, ikaja amepata kazi zambia so anataka mke wa mporoto ndio amtunzie mtoto, tukiuliza kwanini mke wa mporoto kwasasa wakati yeye ndio atajikimu vizuri kifedha na bado mporoto atatoa malezi?.....ngoja mporoto aje atueleze zaidi.

Ndo maana nashindwa kuiamni hii hadithi. Mke wa uporoto tayari katendewa dhambi nyingi, ..mume wake kutembe nje ya ndoa tena kazaa, kubwabwaja mbele yake kuwa ana mtoto na kuomba msaada. Sasa tena wanaomba na kazi ya kulea? Kwa nini wanataka kumkamua ng'ombe ambaye hawajampa majani. Huu ni uonevu mkubwa kwa huyo mwanamke. I can not do that to my sweet wife (Kaizer and Fidel mpo??):mad2::mad2:

:confused2:
okay, sasa labda niulize tu kwa nini HUTAKI kwamba huyu mke wake Uporoto amlee huyo mtoto?

Kwa nini amlee wakati ana mama na baba wa pili baada ya yule wa kwanza kutangulia? Kwanza huyo mama wa mtoto ni mpumbavu kwani Uporoto angeweza kumkataa huyo mtoto. Sasa huyo baba (sijui anaumwa nini) kakubali kubeba mzigo (nje ya makubaliano) na kwa kukosa aibu anatafuta watu wa kumsaidia kubebe mzigo wake mwenyewe. Mabaya zaidi anayetafutwa ni victim wa hayo matendo yao. Hivi wewe ungeletewa story inayokaribia hiyo ingekubali??

:closed_2::closed_2::closed_2:
 
kaka Maane samahani! nilimiss hiyo point...kauli ya mke ni ya utata/sio nzuri!...

Hapa tupo ukurasa mmoja, hata mimi sijaipenda kwa kweli....

lakni pa1 na hayo nacctiza mama mtoto alee mtoto wake mwenyewe akishirikiana na mzazi mwenzie, hivi kwanini wanawake tukae tukubali kwamba mwanaume kuzaa nje na kukuletea mtoto ulee kwao ni sawa na tunataka kubariki ili jambo?...ckubalianai nalo kabisa, waliozaa na watunze wenyewe, nitakachokubaliana nacho hapo ni kwa mr kulea huyo mtoto asiye na hatia lakni sio huyo mwanamke kuniletea mie nimlelel...hellll no.

sasa hili nnadhani tuanzishe sredi manake ni jambo zito linahitaji kujadiliwa kwa kina...mimi silibariki hata kidogo ila pia lazima tuwe flexible....
 
...wengi wenu mmeangukia kwenye mtego kama aliotegwa nao Uporoto01.
Swali ni; Huyo mtoto (5yrs Old) anastahiki kulelewa na nani?
haijalishi anaumwa au la,...

Muwe makini na hizi Mind Games.
 
Kwa nini amlee wakati ana mama na baba wa pili baada ya yule wa kwanza kutangulia? Kwanza huyo mama wa mtoto ni mpumbavu kwani Uporoto angeweza kumkataa huyo mtoto. Sasa huyo baba (sijui anaumwa nini) kakubali kubeba mzigo (nje ya makubaliano) na kwa kukosa aibu anatafuta watu wa kumsaidia kubebe mzigo wake mwenyewe. Mabaya zaidi anayetafutwa ni victim wa hayo matendo yao. Hivi wewe ungeletewa story inayokaribia hiyo ingekubali??

:closed_2::closed_2::closed_2:

hahaha mkuu DC inabidi nikuchukulie kwa uangalifu manake leo imeshanicost unyumba ujue?:becky:

lakini watu si walisema damu nzito kuliko maji? kweli unaweza kumkataa mtoto ambaye una uhakika ni wa kwako kwa sababu yeyote ile? kwangu ni ngumu!
 
...wengi wenu mmeangukia kwenye mtego kama aliotegwa nao Uporoto01.
Swali ni; Huyo mtoto (5yrs Old) anastahiki kulelewa na nani?
haijalishi anaumwa au la,...

Muwe makini na hizi Mind Games.

mkuu kwanza pole kwa Swaum,

swali jengine ni kwamba huyo mtoto kwa sasa hivi ni wa NANI? tukishajua ni wa nani, tutajua anastahili kulelewa na NANI hasa.....
 
na mama yake mzazi akisaididana na mzazi mwenzie.
 
mkuu kwanza pole kwa Swaum,

swali jengine ni kwamba huyo mtoto kwa sasa hivi ni wa NANI? tukishajua ni wa nani, tutajua anastahili kulelewa na NANI hasa.....

huyo mtoto hana cha sasa hivi, huyo mtoto ana mama yake mzazi na baba yake anajulikana, utaulizaje tena ni wa nani?...na anatakiwa alelewe na mama yake mzazi akishirikiana na mzazi mwenzie.
 
swali jengine ni kwamba huyo mtoto kwa sasa hivi ni wa NANI? tukishajua ni wa nani, tutajua anastahili kulelewa na NANI hasa.....
Kisheria mtoto sio wake .....kibiologia mtoto ni wake haijalishi kwa "sasa ivi" au kwa zamani
 
hahaha mkuu DC inabidi nikuchukulie kwa uangalifu manake leo imeshanicost unyumba ujue?:becky:

lakini watu si walisema damu nzito kuliko maji? kweli unaweza kumkataa mtoto ambaye una uhakika ni wa kwako kwa sababu yeyote ile? kwangu ni ngumu!

mtoto hajakataliwa, baba kamkubali mtoto na matunzo kwa ujumla...anaeshindwa malezi ni mama mzazi na ndio mnamsapoti akwepe jukumu la mwanae wa kumzaa?...khaaa....makubaliano yao ya kuombana mbegu yalikuwa baina yao wawili iweje leo mwngne abebeshwe tatizo?...upande mwingine wa shs kama huyu baba(mporoto) na leo yeye angetaka kwenda kumchukua mtoto wake wakati mume wa huyo mama (hawara) yupo hai hii hali ingekuwaje?
 
Pole Kaizer kwa kukosa raha ya nyumbani kwa leo, siku nyingine uwe makini...ha ha ha! Angalia isije kuwa extended. I am out of here japo moyo wangu leo umeumia sana. Wababa/Wanaume mara nyingine muwe waangalifu mnapoombwa vitu ambavyo vina utata! We unagawaje mbegu zako hovyo hovyo! Ona sasa unatufanya watu wote tunaumia hivi! Ukiingia mikataba kama hii isiwe akili umeweka kwenye kichwa cha...peka yake!

Uporoto when you are thinking of "your" daughter think of that strong woman God gave you. Please do not hurt her more

I am off
 
Uporoto wewe na Mama yake mkishindwa kumlea mtoto nileteeni ..full detail kutoka kwa DR nijue pa kuanzia naona mnaumiza vichwa wakati mtoto ni zawadi toka kwa mungu :glasses-nerdy:
 
na mie kwa kuongezea tu, nimeckitika na hii thread kuona wanaume zetu jinc wanavyochukulia cmple kutuumiza mioyo ye2, kwao hili ni jambo la kawaida na lawama wanamshushia mke wa watu acye na kosa hata kidogo....hapo pamenickitisha sana..n.dio ndoa zetu hizi unaambiwa kwa ""mila/ desturi zetu"" hapo mke angetakiwa amtunze huyo mtoto...aisee wacha nikapumzike kabisa.
 
Mungu akubariki na akuzidishie wewe na familia yako.
 
mtoto hajakataliwa, baba kamkubali mtoto na matunzo kwa ujumla...anaeshindwa malezi ni mama mzazi na ndio mnamsapoti akwepe jukumu la mwanae wa kumzaa?...khaaa....makubaliano yao ya kuombana mbegu yalikuwa baina yao wawili iweje leo mwngne abebeshwe tatizo?...upande mwingine wa shs kama huyu baba(mporoto) na leo yeye angetaka kwenda kumchukua mtoto wake wakati mume wa huyo mama (hawara) yupo hai hii hali ingekuwaje?

Nyamayao,
Ni kweli kuwa mtoto hajakataliwa, Tatizo ni huyo mama aliyeshindwa malezi, Mimi nakubaliana na mawazo ya Kaizer , Fidel, Gaijin na wachangiaje wengine ambao wanamuonea huruma huyu mtoto, Sina imani na mama mzazi katika kulea mtoto!!, Mporoto hajachelewa ,atafute namna ya kulea mtoto bila kumbugudhi mkewe, kama my wife wake atakubali ni vyema zaidi, na iwapo atakuwa negative atafute altenative nyingine ila asimwachie mtoto huyo EX GF wake.
 
hilo ndio neno...God blec u.
 
na mie kwa kuongezea tu, nimeckitika na hii thread kuona wanaume zetu jinc wanavyochukulia cmple kutuumiza mioyo ye2, kwao hili ni jambo la kawaida na lawama wanamshushia mke wa watu acye na kosa hata kidogo....hapo pamenickitisha sana..n.dio ndoa zetu hizi unaambiwa kwa ""mila/ desturi zetu"" hapo mke angetakiwa amtunze huyo mtoto...aisee wacha nikapumzike kabisa.

Kupitia hii sredi nimejifunza na imenishangaza nyamayao........msg sent

*Sitegemei mwenzangu aje amebeba mtoto eti alimsaidia x-wake ambaye mmewe alikuwa na tatizo la mbegu za uzazi ,over my dead body I will not accept this.............
*Pale mwenzangu atakapokuja na mtoto amebebelea eti huyo alimzaa tukiwa ndani ya ndoa kwamba amekosa matunzo kwa mama yake kama walijua hivyo kwa nn walimzaaa .. basi sasa afikirie mara mbili mbili.......

Pia sikutegemea kama kuna mwanamke mwenye roho ngumu anayeshindwa kutunza mwanae aliyembebea mimba na kumzaa kwa uchungu miezi yote tisa anathamini kumuacha ili yeye aende kutafuta maisha .....
Kina mama tuko tayari kufa na watoto wetu katika shida na raha ..katika njaa na mateso.. sina hakika kama huyu mwanamke ana akili yake timamu.:juggle:
 
Back
Top Bottom