Jambo limezua Jambo.

Jambo limezua Jambo.

Kupitia hii sredi nimejifunza na imenishangaza nyamayao........msg sent

*Sitegemei mwenzangu aje amebeba mtoto eti alimsaidia x-wake ambaye mmewe alikuwa na tatizo la mbegu za uzazi ,over my dead body I will not accept this.............
*Pale mwenzangu atakapokuja na mtoto amebebelea eti huyo alimzaa tukiwa ndani ya ndoa kwamba amekosa matunzo kwa mama yake kama walijua hivyo kwa nn walimzaaa .. basi sasa afikirie mara mbili mbili.......

Pia sikutegemea kama kuna mwanamke mwenye roho ngumu anayeshindwa kutunza mwanae aliyembebea mimba na kumzaa kwa uchungu miezi yote tisa anathamini kumuacha ili yeye aende kutafuta maisha .....
Kina mama tuko tayari kufa na watoto wetu katika shida na raha ..katika njaa na mateso.. sina hakika kama huyu mwanamke ana akili yake timamu.:juggle:

hayo ndio na mie nagomba nayo, kwanini mtu ale raha zake tabu ziende kwa mwingine?...
 
Jamani nilikuwa napumzika kidogo baada ya kukaa macho usiku kucha,nimesoma maoni yenu na ningependa kusema yafuatayo:-
1.Nilikuwa sijaoa wakati wa tukio hili,
2.Nilikataa kwanza wakaniomba sana EX/mumewe,
3.Ndoa yangu ina mwaka,
4.Sijakataa majukumu ndio maana mimi/wife tunahusika na matibabu/matunzo ufumbuzi ukitafutwa,
5.Naenda kumuona dadangu leo jioni katika kutafuta suluhisho.

Nashukuru wote kwa michango yenu,Nyamayao asante kwa kumuelewa wife nadhani kafanya zaidi ya alivyotakiwa na sitaki kumkwaza.Katika ile thread ya 'ungependa kutoka na nani' nilikuchagua.
 
Sijui kwa nini akina mama huwa mnakuwa na roho mbaya sana kha! utafikiri wewe sio mzazi?:glasses-nerdy:

Fidel nilikuwa cjaiona hii...ngoja nikujibu nikapumzike...wewe ndio mwenye roho nzuri sana? kwanza umetembea nje bila sox(unataka kuniletea magonjwa ndani)....pili unakuja kuniletea ishu za mikataba feki icyo na kichwa wala miguu( umeniumiza roho yangu sana)...mie ni mzazi tena haswaaa, ndio mana naona kila mzazi amtunze/alee mtoto wake kwa maelezo meni niliyoyatoa, wewe nikikuletea wangu wa nje utamlea/mtunza tukiwa ndoani?...halafu ni haki kwenu kuvua gagulo zenu huko mje muwape shida wake zenu kulea wakati mliozaa nao mnakula nao bata huko?....tena na tena mr cku akiotesha mbegu nje ajue na cha kufanya kabisa...ajue kutatua tatizo lake alilovuna kutokana na raha zake.
 
mkuu kwanza pole kwa Swaum,
swali jengine ni kwamba huyo mtoto kwa sasa hivi ni wa NANI? tukishajua ni wa nani, tutajua anastahili kulelewa na NANI hasa.....
na mama yake mzazi akisaididana na mzazi mwenzie.

@ Kaizer, shukran ndugu yangu, swaum ya 13 leo Alhamdulillah.
Wanajamii siku zote husema mtoto ni wa mama!
na kama dada yetu Nyamayao alivyosema hapa, anastahiki huduma toka kwa Bw Upooroto01.

Hata tukilipeleka suala hili ustawi wa jamii/mahakamani na vipimo ya DNA kuthibitisha yeye ni baba,
hawezi kujitetea eti walikubaliana wasijuane baada ya kupandikiza mbegu.
Makubaliano kwa Maandishi/mkataba u wapi juu ya hilo?

Kwakuwa mama yake yupo hai, huyo 5yrs old anatakiwa awe chini ya uangalizi wake
mpaka atapofikisha miaka 18 wakati huo Mheshimiwa Uporoto01 akitoa huduma zote husika.
Ndio kusema Mama mzazi analazimika popote pale alipo kumlea mwanawe.
 
Wakuu muda flani hapo nyuma nilikuwa na GF ambaye tulipendana, tukakosana kwa mambo ya kitoto tu, sasa kuna muda akapata mtu wa kumuoa kwakuwa bado tulikuwa marafiki wa kawaida akaja kwangu na jambo la ajabu kidogo.Huyo jamaa anaetaka kumuoa alishapima akajua hawezi kuzaa yaani mbegu zake zina matatizo,wakawa wameelewana apatikane mtu wa kumpa mimba ili aolewe na mimba ndogo jamaa ijulikane anaweza.Alinionyesha picha ya jamaa ambaye kwa mbaali tumefanana kidogo.
Nikamwambia nitafikiria na pia nikikubali nataka nisikie kauli ya jamaa na pia sitaki kuhusika na kitu chochote baada ya hapo.Zoezi lilifanyika mimba ikapatikana na mtoto wa kike kuzaliwa tukapoteza mawasiliano kama tulivyoelewana.
imekaa kisanii zaidi!:A S 8:
 
Nyamayao kuna facts kadhaa na baadhi ni hizi hapa:
  1. Ni mtoto wa uporoto01 (biological)
  2. Mama wa mtoto amekata tamaa kukaa na huyo mtoto (mgonjwa).
Swali: Upotoro01 yupo tayari (akiwa na hisia kwa mwanae) kumwacha mwanae akateseke??
Hapana, mwanaume hupaswi kumwacha mwanao akateseke ili mama yake apate nidhamu......hapa ni jinsi ya kukaa na mtoto tu, hakuna kingine.
 
kwa nini hamukuandikiana wakati unatska kwenda kugawa mbegu?

au wewe ndo uliona ni nafasi pekee ya kumtafuna dada wa watu

haya mambo uliutakiwa kufata sheria kwanza,

u8na uhakika huyo jamaa kafariki

wewe ni biological farther wa mtoto huyo ; lea mwanao period
 
Jamani nilikuwa napumzika kidogo baada ya kukaa macho usiku kucha,nimesoma maoni yenu na ningependa kusema yafuatayo:-
1.Nilikuwa sijaoa wakati wa tukio hili,
2.Nilikataa kwanza wakaniomba sana EX/mumewe,
3.Ndoa yangu ina mwaka,
4.Sijakataa majukumu ndio maana mimi/wife tunahusika na matibabu/matunzo ufumbuzi ukitafutwa,
5.Naenda kumuona dadangu leo jioni katika kutafuta suluhisho.

Nashukuru wote kwa michango yenu,Nyamayao asante kwa kumuelewa wife nadhani kafanya zaidi ya alivyotakiwa na sitaki kumkwaza.Katika ile thread ya 'ungependa kutoka na nani' nilikuchagua.

kumbe ndoa yenyewe bado changa sana haya yetu macho na masikio mungu akuongoze ufanye yaliyo mema zaidi
 
...duuuh,
usongo wa mawazo aka Depression huooooo unakunyemelea sasa.
Kesi hii sio kubwa kama unavyotaka kuikuza.
Ulitegwa, ukategeka. Usikubali kutegeka tena.
Jaribio tu hili, ukitulia utauona mlango wake wa kutokea.
Kila la kheri bana.
 
kumbe ndoa yenyewe bado changa sana haya yetu macho na masikio mungu akuongoze ufanye yaliyo mema zaidi

...1stLady very soon utakitegua kitendawili hiki kwa Uporoto01.
rudia kusoma hapa;

Wakuu muda flani hapo nyuma nilikuwa na GF ambaye tulipendana, tukakosana kwa mambo ya kitoto tu, sasa kuna muda akapata mtu wa kumuoa kwakuwa bado tulikuwa marafiki wa kawaida akaja kwangu na jambo la ajabu kidogo.

Huyo jamaa anaetaka kumuoa alishapima akajua hawezi kuzaa yaani mbegu zake zina matatizo,wakawa wameelewana apatikane mtu wa kumpa mimba ili aolewe na mimba ndogo jamaa ijulikane anaweza.Alinionyesha picha ya jamaa ambaye kwa mbaali tumefanana kidogo...

...umeona eeh? digest hapo kwenye " 'alinionyesha picha ya jamaa ambaye kwa mbaali tumefanana kidogo' "
sasa endelea...

Juzi kati bibie kanifata(baada ya miaka mitano) mumewe alifariki mwanzoni wa mwaka huu na yeye hana uwezo wa kumtunza mtoto peke yake,...Kapata kazi Zambia anadai hawezi kwenda na mtoto na kwakuwa mimi ni baba nimchukue...

...umeona eeh? haya sasa malizia hapa;...

...nimesoma maoni yenu na ningependa kusema yafuatayo:-
1.Nilikuwa sijaoa wakati wa tukio hili,
2.Nilikataa kwanza wakaniomba sana EX/mumewe,
3.Ndoa yangu ina mwaka,

Uporoto01 ndugu yangu,...
Huu ni mtego uliotegewa na huyo Ex wako na 'mshirika wake.'
Hakuwa tayari kuachana na wewe, alihakikisha atazaa na wewe, kwakujua mtoto
atakuwa kiunganishi chake kwako. 'Mind Games'

Shukuru Mungu mkeo ni muelewa.
Utafaulu, lakini tu kwa kumshirikisha mkeo.
Usirudie kosa.

BTW, hii ni story ya upande wa Uporoto01 pekee,...mzazi mwenziwe hatujamsikia.
 
Kama mama wa mtoto anadanganya kuhusu kupata kazi Zambia anataka kukimbia wewe inakusumbua nini????mwache aende wewe utakuwa umetimiza wajibu wako wa kumlea mtoto wako. Mwambie hivi huyo mama aende salama mtoto amwache na mkeo mwambie ni damu yako huwezi kujadili namna ya kumlea mtoto period.
 
hahaha mkuu DC inabidi nikuchukulie kwa uangalifu manake leo imeshanicost unyumba ujue?:becky:

lakini watu si walisema damu nzito kuliko maji? kweli unaweza kumkataa mtoto ambaye una uhakika ni wa kwako kwa sababu yeyote ile? kwangu ni ngumu!

Mkuu Kaizer, ... kuna jamaa alinambia kuwa.."not every ejaculation deserves a name". Ndo maana wanaume kukataa watoto wao wa kuwazaa ni kitu cha kawaida tu. Kwa sababu mwanamume anachoangalia ni kama alikuwa tayari kutengeneza mtoto au alitaka starehe tu. Huyu jamaa ni kama vile aliamua kufanya biashara, kwa hiyo kazi yake iliiisha baada ya ku-donate sperms (sijui alizitoa kwa njia ya chupa??!!!!). Kwa hiyo kuukubali mzigo kinyume na makubaliano yao ni wema wake na ndo maana nasema kuwa hatakiwi hata kwa sababu yoyote kumsumbua mke wake. This is purely his business na huyo shareholder mwenzake.

na mie kwa kuongezea tu, nimeckitika na hii thread kuona wanaume zetu jinc wanavyochukulia cmple kutuumiza mioyo ye2, kwao hili ni jambo la kawaida na lawama wanamshushia mke wa watu acye na kosa hata kidogo....hapo pamenickitisha sana..n.dio ndoa zetu hizi unaambiwa kwa ""mila/ desturi zetu"" hapo mke angetakiwa amtunze huyo mtoto...aisee wacha nikapumzike kabisa.

Sis, leo tumeshinda wote unakuja kunikana jioni? Au na mimi leo nimekuwa SHE? But I can understand your point. Watu wanakula mikuku yao na kukuletea vyombo ukaoshe. Si uungwana hata siku moja!!

Kama mama wa mtoto anadanganya kuhusu kupata kazi Zambia anataka kukimbia wewe inakusumbua nini????mwache aende wewe utakuwa umetimiza wajibu wako wa kumlea mtoto wako. Mwambie hivi huyo mama aende salama mtoto amwache na mkeo mwambie ni damu yako huwezi kujadili namna ya kumlea mtoto period.

Pia umpatie ushauri kuwa wakaandike legal document na mkewe kuwa kwa sasa Uporoto ataleta damu yake ila mke naye huko mbele ya safari naye anataleta damu yake home wakelee. Au unasemaje?:A S 8::A S 8:
 
Mjomba hacha hizo wee umebakia wife, wife, wife...hiyo damu yako chapuka kuwa mwanaume achana na ujinga wa wife, wife kuwa baba!
 
Jamani nilikuwa napumzika kidogo baada ya kukaa macho usiku kucha,nimesoma maoni yenu na ningependa kusema yafuatayo:-
1.Nilikuwa sijaoa wakati wa tukio hili,
2.Nilikataa kwanza wakaniomba sana EX/mumewe,
3.Ndoa yangu ina mwaka,
4.Sijakataa majukumu ndio maana mimi/wife tunahusika na matibabu/matunzo ufumbuzi ukitafutwa,
5.Naenda kumuona dadangu leo jioni katika kutafuta suluhisho.

Nashukuru wote kwa michango yenu,Nyamayao asante kwa kumuelewa wife nadhani kafanya zaidi ya alivyotakiwa na sitaki kumkwaza.Katika ile thread ya 'ungependa kutoka na nani' nilikuchagua.

Mimi nadhani waungwana kwa statement hii ya mleta mada, inaclear mambo mengi sana lakini kubwa ni hija ya Mrs wangu Nyamayao and co kwamba eti Uporoto 'walienda kwenye starehe zao za kuvuana magagulo' na kisha 'kumletea' wife wake...

Maadamu ilifanyika kabla ya ndoa, nadhani ghoja ya kumuumiza mke wake ni irrelevant hapa, na for that matter inabidi kwa kawaida alelewe na mkewe (kama ambavyo Nyamayao anamlea mtoto wa Mr. wake aliyemzaa kabla ya ndoa)

kwa hiyo tafadhalini sana hebu tuliangalie hili kwa mtazamo huo.

mkuu Mbu, hapa Uporoto yupo tayari kabisa kumlea mtoto wake..suala ni kwamba alelewe wapi? Majibu ni kwamba aidha ambembeleze mkewe akubali kumlea maadam ilikuwa kabla ya ndoa au ampeleke kwa dada yake au ndugu zake wengine ambapo atakuwa anapeleka matunzo:closed_2::closed_2:
 
Ndio kusema Mama mzazi analazimika popote pale alipo kumlea mwanawe.

Mkuu Mbu, ni kweli kisheria angelazimika kumlea huyo mtoto lakini mahakama pia inaangalia kama mama ana uwezo, including kiakili, kiuwezo, na hata kimaadili wa kumlea huyo mtoto. Ikithibitika hawezi, basi mahakama inao uwezo wa kumwamuru alelewe sehemu nyengine. Nadhani ndo maana hata kwa wenzetu wana sehemu za kulea watoto ambao wazazi wao wameshindwa kuwalea
 
Kama mama wa mtoto anadanganya kuhusu kupata kazi Zambia anataka kukimbia wewe inakusumbua nini????mwache aende wewe utakuwa umetimiza wajibu wako wa kumlea mtoto wako. Mwambie hivi huyo mama aende salama mtoto amwache na mkeo mwambie ni damu yako huwezi kujadili namna ya kumlea mtoto period.

sasa subiri "wanaharakati' hapa........
 
Mkuu Kaizer, ... kuna jamaa alinambia kuwa.."not every ejaculation deserves a name". Ndo maana wanaume kukataa watoto wao wa kuwazaa ni kitu cha kawaida tu. Kwa sababu mwanamume anachoangalia ni kama

Mkuu DC nadhani huyo 'jamaa' yuko morally wrong na amekumislead kabisa! maana hapa tunaanza kuingia kwenye issue za kwamba kwa nini watu wana have sex in the first place, kama sio kwa ajili ya recreation,?

nadhani kwa mtu mwenye kuwa na maadili hawezi kutegemewa akatae mtoto ambaye ana uhakika ni wa kwake....wanaokataa hivyo ni kwa sababu nyingine za kimaisha tu na ndio maana baadaye hurudi 'kuwatafuta' hao watoto waliowakataa in the first place!
 
Mimi nadhani waungwana kwa statement hii ya mleta mada, inaclear mambo mengi sana lakini kubwa ni hija ya Mrs wangu Nyamayao and co kwamba eti Uporoto 'walienda kwenye starehe zao za kuvuana magagulo' na kisha 'kumletea' wife wake...

Maadamu ilifanyika kabla ya ndoa, nadhani ghoja ya kumuumiza mke wake ni irrelevant hapa, na for that matter inabidi kwa kawaida alelewe na mkewe (kama ambavyo Nyamayao anamlea mtoto wa Mr. wake aliyemzaa kabla ya ndoa)

kwa hiyo tafadhalini sana hebu tuliangalie hili kwa mtazamo huo.

mkuu Mbu, hapa Uporoto yupo tayari kabisa kumlea mtoto wake..suala ni kwamba alelewe wapi? Majibu ni kwamba aidha ambembeleze mkewe akubali kumlea maadam ilikuwa kabla ya ndoa au ampeleke kwa dada yake au ndugu zake wengine ambapo atakuwa anapeleka matunzo:closed_2::closed_2:

Nijuavyo mimi, mama au hata baba anaweza kuamua kulea mtoto wa kambo bila matatizo endapo hayo mambo wanakubaliana kabla ya kuingia kwenye ndoa. Kuna jamaa yangu aliachana mchumba wake baada ya kumwambia kuwa ana mtoto aliyemzaa huko nyuma. Maadamu hawakukubaliana kuwa jamaa aliwahi kuwa sperm donor (kitu ambacho naona ni upuuzi) hapo itabidi ategemee huruma ya mke wake!
 
Hao mkulu walikuwa hawapendani kiukweli.....iweje mtu amkatae mwenziwe eti kwa vile alishajaribu urijali wake?:becky:

Hilo la kukubaliana kuwa alishawahi kuwa sperm donor ni ngumu kwa sababu hakutegemea yatokee haya yaliyotokea...yaani kwamba mumewe na ex GF wake atakufa, na kwamba huyo ex wake atakuwa na hali mbaya kimaisha kiasi cha kushindwa kumlea mtoto wake kwa sasa. Ndio maana ikabidi avunje ukimya kwa wife na wife anamuelewa vizuri tu....in fact palipobaki kwa wife ni padogo, ataingiwa tu na huruma as u know wake zetu sio wakatili kiasi hicho!
 
Back
Top Bottom