Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Kupitia hii sredi nimejifunza na imenishangaza nyamayao........msg sent
*Sitegemei mwenzangu aje amebeba mtoto eti alimsaidia x-wake ambaye mmewe alikuwa na tatizo la mbegu za uzazi ,over my dead body I will not accept this.............
*Pale mwenzangu atakapokuja na mtoto amebebelea eti huyo alimzaa tukiwa ndani ya ndoa kwamba amekosa matunzo kwa mama yake kama walijua hivyo kwa nn walimzaaa .. basi sasa afikirie mara mbili mbili.......
Pia sikutegemea kama kuna mwanamke mwenye roho ngumu anayeshindwa kutunza mwanae aliyembebea mimba na kumzaa kwa uchungu miezi yote tisa anathamini kumuacha ili yeye aende kutafuta maisha .....
Kina mama tuko tayari kufa na watoto wetu katika shida na raha ..katika njaa na mateso.. sina hakika kama huyu mwanamke ana akili yake timamu.:juggle:
hayo ndio na mie nagomba nayo, kwanini mtu ale raha zake tabu ziende kwa mwingine?...