Ugonjwa wa MPOX unaenezwa kwa njia ya ngono.
Hii siyo njia pekee isipokuwa kwa kiasi kikubwa watu wazima wanapata ugonjwa huu katika mchakato wa ngono au tendo la ngono lenyewe. Vimelea hukaa katika majimaji ya mwili (ute wa mwanamke, mbegu za mwanaume, damu, mate n.k) wa binadamu au mnyama
Njia nyingine ni kugusana na mgonjwa, mnyama au kitu chochote chenye/kilichochafuliwa na vimelea vya MPOX (Mfano: matandiko, nguo, vitasa vya mlango, Meza, kalamu na vitu vingine vya aina hiyo)