Pre GE2025 Jambo TV yasema itarusha Live mkutano wa CHADEMA licha ya kupewa vitisho

Pre GE2025 Jambo TV yasema itarusha Live mkutano wa CHADEMA licha ya kupewa vitisho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
20240814_132104.jpg
Vitisho vya aina yoyote ile na Lobbying yoyote ile kwenye Media kuelekea Press conference ya Mhe. Freeman Mbowe @freemanmbowetz havina nafasi kwenye Uhuru wa Habari.

Kwani Freeman Mbowe hapaswi kupewa nafasi ya kusikika na Watanzania kupitia vyombo vya habari? Kama kurusha Matangazo ya Mkutano wa Freeman Mbowe na waandishi wa Habari ni kinyume na Sheria za Nchi bila kujali anazungumza nini basi tuko tayari kubeba gharama ya kufanya hivyo.

Tunaamini kwenye Uhuru wa kujieleza na tutasimama na hii imani yetu bila kujali matokeo, mtu asihangaike kupiga simu, JamboTV tutakuwa Mubashara/ Live kuanzia saa tisa kamili.
 
View attachment 3069718

Yaani natamani wapigwe virungu na huyo mbowe mpaka avunjwe kiuno aliye mamaaaaaa hahaha bahati yenu ningekuwa porisi mgekoma ni mitama na mingumi tu waadishi ka ninyi
 
Jf tuwe na online channel yetu bana.Khaaaaa
Mh, mkuu kunavimoderator vichawa siku hizi, haiwezi kunoga.

Wee fikiria mtu yeyote akianzisha uzi uhusuo ulinzi ama usalama ama mambo yanayogusa watawala kwa uwazi, dk5 nyingi tayari washaufuta!

Kwa hiyo humu tayari kuna mapandikizi na machawa ngazi za moderators wa kutosha, tusijiamini wala kujipa matumain kwa Jf kama mwanzo ilivyojinasibu kwa uanzishwaji wake.
 
Yaani natamani wapigwe virungu na huyo mbowe mpaka avunjwe kiuno aliye mamaaaaaa hahaha bahati yenu ningekuwa porisi mgekoma ni mitama na mingumi tu waadishi ka ninyi
We endelea kulelewa kwa shemeji Yako mbwa wewe.
Bi Tozo anaemlisha bwana ako anqmgwaya panya tulia huko huko uvunguni😂😂😂😂.
Wanaume wapo kazini
 
Alafu unsmtoto anakwenda shule na hospital na kuna wakati unakwenda dukani kutafuta mahitaji yako, na unataka mwanasiasa auwawe nyau wewe
Ubaya Ubwela. Ni kama jini mla damu mbowe alivyoshangilia kifo cha Dkt Magufuli mpaka na yeye afe tena hata maiti yake ikiliwa na mbwa sawa. Unajua kiasi gani tuliumizwa na kifo cha mpendwa wetu Dkt Magufuli??? Unafikiri mnapo simama majukwaani kuanza kumdhihaki tunajisikiaje???
 
Back
Top Bottom