Pre GE2025 Jambo TV yasema itarusha Live mkutano wa CHADEMA licha ya kupewa vitisho

Pre GE2025 Jambo TV yasema itarusha Live mkutano wa CHADEMA licha ya kupewa vitisho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwhu ni mbowe jini mnyonya damu na liuaji gaidi kubwa lililotakiwa kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa leo hii lilipaswa libaki mifupa tu limeoza kaburini
Tungekuwa na moderators makini mtu kama huyu alitakiwa kufungiwa asichangie
chochote maana lengo la huyu mtu ni kuvuruga tu mijadala ya watuwenye akili timamu.
 
Vitisho vya aina yoyote ile na Lobbying yoyote ile kwenye Media kuelekea Press conference ya Mhe. Freeman Mbowe @freemanmbowetz havina nafasi kwenye Uhuru wa Habari.

Kwani Freeman Mbowe hapaswi kupewa nafasi ya kusikika na Watanzania kupitia vyombo vya habari? Kama kurusha Matangazo ya Mkutano wa Freeman Mbowe na waandishi wa Habari ni kinyume na Sheria za Nchi bila kujali anazungumza nini basi tuko tayari kubeba gharama ya kufanya hivyo.

Tunaamini kwenye Uhuru wa kujieleza na tutasimama na hii imani yetu bila kujali matokeo, mtu asihangaike kupiga simu, JamboTV tutakuwa Mubashara/ Live kuanzia saa tisa kamili.
Safi sana
 
Yaani natamani wapigwe virungu na huyo mbowe mpaka avunjwe kiuno aliye mamaaaaaa hahaha bahati yenu ningekuwa porisi mgekoma ni mitama na mingumi tu waadishi ka ninyi
bado unanyonya ukikua na siku ukivunja ungo ya azam utaelewa dunia inataka nini
 
Yaani natamani wapigwe virungu na huyo mbowe mpaka avunjwe kiuno aliye mamaaaaaa hahaha bahati yenu ningekuwa porisi mgekoma ni mitama na mingumi tu waadishi ka ninyi
Hawana nia njema na nchi
 
Back
Top Bottom