Sure Mkuu Maxence Melo kwani kamera tsh ngapi naomba nipe hiyo nafasi ya kurusha mambo yanayotakazwa bila yoga wowote.Jf tuwe na online channel yetu bana.Khaaaaa
Yaani natamani wapigwe virungu na huyo mbowe mpaka avunjwe kiuno aliye mamaaaaaa hahaha bahati yenu ningekuwa porisi mgekoma ni mitama na mingumi tu waadishi ka ninyiView attachment 3069718
Vitisho vya aina yoyote ile na Lobbying yoyote ile kwenye Media kuelekea Press conference ya Mhe. Freeman Mbowe @freemanmbowetz havina nafasi kwenye Uhuru wa Habari.
Kwani Freeman Mbowe hapaswi kupewa nafasi ya kusikika na Watanzania kupitia vyombo vya habari? Kama kurusha Matangazo ya Mkutano wa Freeman Mbowe na waandishi wa Habari ni kinyume na Sheria za Nchi bila kujali anazungumza nini basi tuko tayari kubeba gharama ya kufanya hivyo.
Tunaamini kwenye Uhuru wa kujieleza na tutasimama na hii imani yetu bila kujali matokeo, mtu asihangaike kupiga simu, JamboTV tutakuwa Mubashara/ Live kuanzia saa tisa kamili.
Wataenda ila hawatatoa hiyo habariWakati wa hiyo press tutaona vyombo ambavyo vilipigiwa simu visifanye coverage.
Alafu unsmtoto anakwenda shule na hospital na kuna wakati unakwenda dukani kutafuta mahitaji yako, na unataka mwanasiasa auwawe nyau weweYaani natamani wapigwe virungu na huyo mbowe mpaka avunjwe kiuno aliye mamaaaaaa hahaha bahati yenu ningekuwa porisi mgekoma ni mitama na mingumi tu waadishi ka ninyi
Huo utakuwa ujinga wa kiwango cha juu sana.Wataenda ila hawatatoa hiyo habari
una akili ndogo kweli wewe ndo maana hujui kutofautisha kati ya PORISI na POLISI. Bila shaka ni zao la shule za kata tuYaani natamani wapigwe virungu na huyo mbowe mpaka avunjwe kiuno aliye mamaaaaaa hahaha bahati yenu ningekuwa porisi mgekoma ni mitama na mingumi tu waadishi ka ninyi
Mh, mkuu kunavimoderator vichawa siku hizi, haiwezi kunoga.Jf tuwe na online channel yetu bana.Khaaaaa
We endelea kulelewa kwa shemeji Yako mbwa wewe.Yaani natamani wapigwe virungu na huyo mbowe mpaka avunjwe kiuno aliye mamaaaaaa hahaha bahati yenu ningekuwa porisi mgekoma ni mitama na mingumi tu waadishi ka ninyi
Ubaya Ubwela. Ni kama jini mla damu mbowe alivyoshangilia kifo cha Dkt Magufuli mpaka na yeye afe tena hata maiti yake ikiliwa na mbwa sawa. Unajua kiasi gani tuliumizwa na kifo cha mpendwa wetu Dkt Magufuli??? Unafikiri mnapo simama majukwaani kuanza kumdhihaki tunajisikiaje???Alafu unsmtoto anakwenda shule na hospital na kuna wakati unakwenda dukani kutafuta mahitaji yako, na unataka mwanasiasa auwawe nyau wewe