Pre GE2025 Jambo TV yasema itarusha Live mkutano wa CHADEMA licha ya kupewa vitisho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gaidi mama yako.
Baba mbowe ni gaidi linajulikana dunia nzima, yaani linabahati naomba Mungu hilo gaidi lirejeshewe kesi ya ugaidi liende lihukumiwe kifo cha kunyongwa hadi life na kutoa kinyesi kigumu
 
Ifike mahali tuyaone Yale manufaa ya kusema tunayo demokrasia
 
Samiah ana hila kama wale watoto wa Yakobo waliopatana na familia ya kina Shekem kwamba ili tuoane lazima mtahiriwe,wale jamaa wakaingia kichwa kichwa kwa tamaa ya Shekemu kumwoa Dina ikabidi watahiriwe wanaume wote ili waweze kuoana na familia ya Yakobo.Lakini kilichotokea baada ya siku tatu wale vijana walinoa mapanga na kuwateketeza wanaume wote wa familia ya akina Shekemu.Na ndivyo alivyo Samiah kwa CHADEMA anawapooza ili wamkubali kwa sababu waliteswa sana na Magufuri kumbe lengo lake ni kuwateketeza CHADEMA kabisa asibaki hata mmoja ili atawale vizuri.
 
Halafu hii Jambo TV si ndiyo online TV ya Peter Msigwa? Nilidhani atahama nayo chama kwa kuipa misimamo ya CCM, lakini naona imekuwa tofauti.

Au labda wanajenga uaminifu huko ili kuwekwa karibu na chama, kisha wawe daraja la taarifa zijazo? Wananikumbusha marehemu jasusi Cohen wa Mossad.

Ova
 
Baba mbowe ni gaidi linajulikana dunia nzima, yaani linabahati naomba Mungu hilo gaidi lirejeshewe kesi ya ugaidi liende lihukumiwe kifo cha kunyongwa hadi life na kutoa kinyesi kigumu
Dunia ipi unaongelea? Kama ni ya hapa bongo sawa, ila niliepo huku mbona hata hizo story hawana 🀣🀣
 
Baba mbowe ni gaidi linajulikana dunia nzima, yaani linabahati naomba Mungu hilo gaidi lirejeshewe kesi ya ugaidi liende lihukumiwe kifo cha kunyongwa hadi life na kutoa kinyesi kigumu
Nenda kamkamate sasa kama inajulikana ni gaidi,ukimtaja Mbowe ujue unamzungumzia mtoto wa tajiri,aliyemsaidia baba wa taifa kuupata huu uhuru unaoutumia kumtukana,hata hivyo, Mbowe is too rich for you to talk about, hao unaotamani wamnyonge wanamheshimu instead.
 
Yaani natamani wapigwe virungu na huyo mbowe mpaka avunjwe kiuno aliye mamaaaaaa hahaha bahati yenu ningekuwa porisi mgekoma ni mitama na mingumi tu waadishi ka ninyi
Mpaka uwe polisi? Nenda kawakate mitama ww, au ww huna ujanja wowote zaidi ya kutegemea mbeleko vya dola?
 
Yaani natamani wapigwe virungu na huyo mbowe mpaka avunjwe kiuno aliye mamaaaaaa hahaha bahati yenu ningekuwa porisi mgekoma ni mitama na mingumi tu waadishi ka ninyi
Kama vile ulivyopigwa Jana Usiku kuamkia alfajiri ya Leo,
Mpaka ukawa unahema na kulia kwa apige taratibu πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£

Virungu umenogewa navyo mpaka unataka wengine wapigwe???πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Magu alikuwa shetani kwenye umbile la binadamu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Dunia ipi unaongelea? Kama ni ya hapa bongo sawa, ila niliepo huku mbona hata hizo story hawana 🀣🀣
Mbowe anajulikana ni gaidi muuaji jinu mla damu ananuka damu za wafuasi wake wengi akina ben, lisu almanusura kumpoza akapewa umakamu etc
 
Kama vile ulivyopigwa Jana Usiku kuamkia alfajiri ya Leo,
Mpaka ukawa unahema na kulia kwa apige taratibu πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£

Virungu umenogewa navyo mpaka unataka wengine wapigwe???πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Hahaha hivi sugu kunyo anaendeleaje hahaha yaani ingekuwa kwenye hiyo gari ningemkanyaga mpaka anye kinyesi chenye parachichi za mbeya
 
Magu alikuwa shetani kwenye umbile la binadamu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Ndiyo hivyo sasa alishafariki na hayupo, tunaongelea vipigo vya mbwa koko kwa wahuni hawa akina sugu, na bado
 
Hahaha hivi sugu kunyo anaendeleaje hahaha yaani ingekuwa kwenye hiyo gari ningemkanyaga mpaka anye kinyesi chenye parachichi za mbeya
Kama kinyesi ulichokunya alfajiri baada ya shughuli ile eheee πŸ˜…πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…