Pre GE2025 Jambo TV yasema itarusha Live mkutano wa CHADEMA licha ya kupewa vitisho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndiyo hivyo sasa alishafariki na hayupo, tunaongelea vipigo vya mbwa koko kwa wahuni hawa akina sugu, na bado
Hamna mtu ana uoga huo, ww endelea kumwagilia maua hapo kwenye kaburi la yule kiongozi muovu.
 
Mbowe anajulikana ni gaidi muuaji jinu mla damu ananuka damu za wafuasi wake wengi akina ben, lisu almanusura kumpoza akapewa umakamu etc
anajulikana na nani? wenye mamlaka ya kumuita mtu gaidi ni mahakama. Hakuna gaidi ambalo liko uraiani, sasa huyu vipi? Au mahakama zimeshindwa?
 
Yaani natamani wapigwe virungu na huyo mbowe mpaka avunjwe kiuno aliye mamaaaaaa hahaha bahati yenu ningekuwa porisi mgekoma ni mitama na mingumi tu waadishi ka ninyi

Wewe mbona uandikaji wako ni polisi kabisa. Na ndo manaa umeandika porisi. Sababu ninyi wengi ni darasa la 7 au division 5
 
anajulikana na nani? wenye mamlaka ya kumuita mtu gaidi ni mahakama. Hakuna gaidi ambalo liko uraiani, sasa huyu vipi? Au mahakama zimeshindwa?
Alipata huruma ya Dkt Samia, mbowe ni jini mnyonya damu ananuka damu sana
 
Alipata huruma ya Dkt Samia, mbowe ni jini mnyonya damu ananuka damu sana
Kwa hiyo vyombo vya nchi hii havifanyi kazi kwa sheria vinafanya kazi kwa huruma?
Ilikuaje sasa serikali wakasitisha kuendelea na kesi?
 
Yaani natamani wapigwe virungu na huyo mbowe mpaka avunjwe kiuno aliye mamaaaaaa hahaha bahati yenu ningekuwa porisi mgekoma ni mitama na mingumi tu waadishi ka ninyi
Halafu wewe unapewa tuzo ipi?As stupid as much as your id and avator!
 
Tunasherehekea hivyo vipigo bosi si unajua malipo hapa hapa duniani. Mlivyojifanya kushangilia kifo cha Dkt Magufuli hayo ndiyo moja ya malipo
Wale wanaongea kuhusu nchi.Wewe unashangilia virungu?Tulia upike vitumbua.
 
una akili ndogo kweli wewe ndo maana hujui kutofautisha kati ya PORISI na POLISI. Bila shaka ni zao la shule za kata tu
Huyo ameathiriwa na tabia ya 🌈 hivyo huna haja ya kuhangaika naye, acha ahangaike na uvccm wenzake wenye tabia kama zake
 
Yaani natamani wapigwe virungu na huyo mbowe mpaka avunjwe kiuno aliye mamaaaaaa hahaha bahati yenu ningekuwa porisi mgekoma ni mitama na mingumi tu waadishi ka ninyi
Shetani hayawani mkubwa, huna faida yoyote hapa Duniani, ndiyo maana hutafanikiwa kwa lolote kwa sababu umebeba roho ya yule mwovu aliyelaanika.
 
Kwanini CCM wanatumia rafu nyingi hivyo kumzuia Mbowe?
 
Shetani hayawani mkubwa, huna faida yoyote hapa Duniani, ndiyo maana hutafanikiwa kwa lolote kwa sababu umebeba roho ya yule mwovu aliyelaanika.
Mwhu ni mbowe jini mnyonya damu na liuaji gaidi kubwa lililotakiwa kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa leo hii lilipaswa libaki mifupa tu limeoza kaburini
 
Upo sahihi. Hii JF ya sasa Imeanza kuingiliwa na vichawa. Nadhani kuna moderators wameingia kwa kazi maalum. Lengo ni kuifanya JF siku moja iwe sawa sawa na gazeti la uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…