Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza; Mvuvi Nigeria atafuna samaki mwenye thamani ya mabilioni ya shilingi bila kujua

Kwani hao waliotaka kumnunua walikuwa na lengo la kumlamau kumuweka makumbusho? Kama ni kumla hata yeye ana haki ya kumla pia
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
mkuu yaani sijaisoma hata habari ,Ila kichwa Cha mada tu kimenifanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nicheke,unajua unaweza ukatamani umtapike lkn ndo haiwezekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Mkuu kwani bahari imegawanywa kwa kuta?
 
Ingekuwa mimi, nikienda kunya basi kinyesi sikitupi.

Nawaachia wanangu kama urithi kuwa utajiri wenu upo kwenye hicho kinyesi.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe na wewe Mshana Jr huwa ni mwamba wa kuleta taarifa feki JF, kama huyo samaki anapatikana bahari ya Pacific tu, na wakati huo Nigeria hupakana na Atlantic tu, wala si Pacific manake fake news! BTW source of inf hujaweka!
Nimeileta hapa kama ilivyo unaweza kuthibitisha vinginevyo ..ndio maana ya kuwa GT

mkuu yaani sijaisoma hata habari ,Ila kichwa Cha mada tu kimenifanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nicheke,unajua unaweza ukatamani umtapike lkn ndo haiwezekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakujua thamani yake...Am sure muda huu anajutia
Arudi tena sehemu alipomvua ayaombe majini ya bahari huenda yatamsikiliza na kumatia mwingine, vinginevyo akitumia kigezo cha thamani toka kampuni ya samaki awapelekee bili wote wale aliowapa samaki yule, ninauhakika watamfidia japo kifutamachozi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Golden chance never come twice...!!! Only once in a lifetime..!!!
 
Mungu ni mwingi wa rehema utoa rizik kwa amtakae na umnyima amtake hao wanakijiji wajitafakari sana walikosea wapi kwa mola wao.
 
Kwel kabsa aisee usiombe

Kumbe na wewe Mshana Jr huwa ni mwamba wa kuleta taarifa feki JF, kama huyo samaki anapatikana bahari ya Pacific tu, na wakati huo Nigeria hupakana na Atlantic tu, wala si Pacific manake fake news! BTW source of inf hujaweka!

Mkuu Humjui huyu bwana? Kiufupi ni mtu anayejifanya kudandia dandia taarifa ili kutafuta chippu popularity jf

Ametranslate vibaya taarifa ... Samaki huyo anapatikana bahari zote 2,Both Pacific And Atlantic ..
Ila siyo wazuri kwa kuliwa.
Wana Mercury nyingi

Kama huyo waliyemvua hao Nigerians Anaitwa Atlantic blue Marlin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…