Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza; Mvuvi Nigeria atafuna samaki mwenye thamani ya mabilioni ya shilingi bila kujua

Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza; Mvuvi Nigeria atafuna samaki mwenye thamani ya mabilioni ya shilingi bila kujua

Huo ni uzushi wa mitandao mzee samaki mwenye Kama kitimoto siku ya Kwanza kumla lazima uhalishe Mimi nimevua Long line fishing trip najua
According to a CNBC report, the marlin fish is worth about $31,325.30 per pound. Furthermore, the females, which are significantly larger than males, can reach 14 feet in length and weigh more than 1,985 pounds, while average sizes tend to be in the range of 11 feet and 200 to 400 pounds.

The fish is not primarily intended for human consumption because it contains unhealthy amounts of mercury and other contaminants; however, their meat is considered a delicacy, particularly in Japan, where it is served raw as “Sashimi.”

The blue marlin of the Atlantic and Pacific oceans are more widely pursued by sport fishermen than any other marlin species. Their wide distribution in tropical oceanic waters and seasonally into temperate zones makes them available to many anglers, and their potential to reach great sizes and spectacular fighting ability makes them a highly desired catch to some anglers.
 
Samaki si anaogelea?
" Blue Marlin ni moja ya samaki adimu sana duniani na wenye thamani kubwa sana baada ya Bluefin Tuna na White Marlin. Wanapatikana bahari ya Pacific tu, na kabla ya huyu aliyepatikana Nigeria, mwingine alipatikana nchini Nicaragua mwaka 2014.!"

Pacific Ocean inafika Nigeria??????? JF members tuwe tuna heshimiana please.
 
Hii post,kiukweli nimejifunza kitu kikubwa sana.jamani tunapokutana na vitu strange ,tutulie kwanza,sio kufanya maamizi ya kukurupuka,Kama huyo mnaigeria.amekurupuka akamkula samaki,akaalika na wanakijiji wenzie wakashiriki kumkula samaki aliyesheheni utajiri,Sasa hivi anajutia,amemkula samaki na yeye utajiri umekuliwa.
 
Kila nyama INA thamani yake kulingana na upatikanaji wake.
nyama ya kuku ni tofauti na nyama ya mbuni kwa bei.
wazungu wangenunua.sababu ni nyama adimu.
Nimeelewa kuhusu hilo... Nimetaka kujua pia matumizi na faida zake pia... Au anaweza akawa adimu na asiwe na faida na matumizi..??!
 
Mvuvi mmoja katika kijiji cha Warri, jimbo la Niger Delta nchini Nigeria amevua samaki aina ya Blue Marlin mwenye uzito wa 87 kgs na kumchinja kisha kugawana nyama na wanakijiji wenzie.

Baadae kampuni ya Pacific seafood ya nchini Marekani iliposikia habari za kuvuliwa kwa samaki huyo adimu duniani ilitangaza offer ya 30,000$ kwa kila kilo sawa na TZS 69M kwa kilo, ambapo ingelipa jumla ya 2.6 US$ million sawa na Tshs bilioni 6 kwa kilo zote 87. Lakini wakati kampuni hiyo inatangaza offer hiyo tayari samaki huyo alikua ameshaliwa na kuisha.

Frank Dulcich Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Pacific Seafood amesema kitu ambacho mvuvi huyo hakujua ni kwamba wakati anafurahia kutafuna minofu ya samaki huyo, alitafuna pia urithi wa familia yake vizazi na vizazi.

"As he was eating together with his villagers, he didn't know that he has eaten the wealth for his generations to come" amesema Dulcich.!

Blue Marlin ni moja ya samaki adimu sana duniani na wenye thamani kubwa sana baada ya Bluefin Tuna na White Marlin. Wanapatikana bahari ya Pacific tu, na kabla ya huyu aliyepatikana Nigeria, mwingine alipatikana nchini Nicaragua mwaka 2014.!

Asipopata stroke yeye ni kidume🚶🚶
 
Sikuona jina la mwandishi aliyetafsiri..kama nimeweza kuwela link ningeshindwaje kutaja jina la mfasiri? Ama kuna la ziada?
IMG_20210310_073650.jpg
 
Kwani wazungu wana nini kila wakisema jambo bhasi waafrika tunaliamini na kuliona bora kuliko chochote hata kama atatokea mwafrika akaongea ukweli wa hilo jambo atapingwa vikali
 
Si kila mtu ana account Twitter na kwingineko...
Hiyo sio twitter. Sikatai kupost habari ambayo imepostiwa na mtu lakini uandishi, kila kitu kifanane!!!?🤔

Mara ngap unaeza soma habari moja katika magazeti zaidi ya ma3 lakini uandishi tofauti. Ni hayo tu
 
mshana huwa namkubali kwa kukuokoteza okoteza issues na kuzifanya zake.... aliwahi sema Dr Shika ni CIA.... nilimkatalia kabisa naye akasisitiza kuwa ana fahamu ni CIA. nlichoka n mshana. ila ni jamaa yangu wa humu kuna mengine nakuwa sahihi mengine anakuwa anaandika kwa hisia na si fact au uhalisia. kama hili wamemuingiza tu mkenge maskini.
 
Hiyo sio twitter. Sikatai kupost habari ambayo imepostiwa na mtu lakini uandishi, kila kitu kifanane!!!?[emoji848]

Mara ngap unaeza soma habari moja katika magazeti zaidi ya ma3 lakini uandishi tofauti. Ni hayo tu
Sawa
 
Kama mnamuona ni mjinga basi akinamama wajawazito ni wajinga zaidi kwani mkojo wao unauzika lakini miaka yote wameumwaga bure! Ni sawa na kununua bia ya Safari kisha unaimwaga!
 
Back
Top Bottom