mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Umeambiwa ni samaki adimu DUNIANI.
Kwanini walimhitaji huyo samaki..?? Ana kazi gani.. na faida gani..!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini walimhitaji huyo samaki..?? Ana kazi gani.. na faida gani..!!??
According to a CNBC report, the marlin fish is worth about $31,325.30 per pound. Furthermore, the females, which are significantly larger than males, can reach 14 feet in length and weigh more than 1,985 pounds, while average sizes tend to be in the range of 11 feet and 200 to 400 pounds.Huo ni uzushi wa mitandao mzee samaki mwenye Kama kitimoto siku ya Kwanza kumla lazima uhalishe Mimi nimevua Long line fishing trip najua
" Blue Marlin ni moja ya samaki adimu sana duniani na wenye thamani kubwa sana baada ya Bluefin Tuna na White Marlin. Wanapatikana bahari ya Pacific tu, na kabla ya huyu aliyepatikana Nigeria, mwingine alipatikana nchini Nicaragua mwaka 2014.!"
Pacific Ocean inafika Nigeria??????? JF members tuwe tuna heshimiana please.
Nimeelewa kuhusu hilo... Nimetaka kujua pia matumizi na faida zake pia... Au anaweza akawa adimu na asiwe na faida na matumizi..??!Umeambiwa ni samaki adimu DUNIANI.
Nimeelewa kuhusu hilo... Nimetaka kujua pia matumizi na faida zake pia... Au anaweza akawa adimu na asiwe na faida na matumizi..??!
Asipopata stroke yeye ni kidume🚶🚶Mvuvi mmoja katika kijiji cha Warri, jimbo la Niger Delta nchini Nigeria amevua samaki aina ya Blue Marlin mwenye uzito wa 87 kgs na kumchinja kisha kugawana nyama na wanakijiji wenzie.
Baadae kampuni ya Pacific seafood ya nchini Marekani iliposikia habari za kuvuliwa kwa samaki huyo adimu duniani ilitangaza offer ya 30,000$ kwa kila kilo sawa na TZS 69M kwa kilo, ambapo ingelipa jumla ya 2.6 US$ million sawa na Tshs bilioni 6 kwa kilo zote 87. Lakini wakati kampuni hiyo inatangaza offer hiyo tayari samaki huyo alikua ameshaliwa na kuisha.
Frank Dulcich Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Pacific Seafood amesema kitu ambacho mvuvi huyo hakujua ni kwamba wakati anafurahia kutafuna minofu ya samaki huyo, alitafuna pia urithi wa familia yake vizazi na vizazi.
"As he was eating together with his villagers, he didn't know that he has eaten the wealth for his generations to come" amesema Dulcich.!
Blue Marlin ni moja ya samaki adimu sana duniani na wenye thamani kubwa sana baada ya Bluefin Tuna na White Marlin. Wanapatikana bahari ya Pacific tu, na kabla ya huyu aliyepatikana Nigeria, mwingine alipatikana nchini Nicaragua mwaka 2014.!
Sikuona jina la mwandishi aliyetafsiri..kama nimeweza kuwela link ningeshindwaje kutaja jina la mfasiri? Ama kuna la ziada?
Acha ujinga wewe kwani hapo wamekosea wapi? Pacific haipo nigeria hizo ni propaganda tujifunze kuwa watafit wa mamboMbuzi wa fukara hazai...
Hiyo sio twitter. Sikatai kupost habari ambayo imepostiwa na mtu lakini uandishi, kila kitu kifanane!!!?🤔Si kila mtu ana account Twitter na kwingineko...