Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
the Blue Marlin is actually not a popular choice for eating. While the fish can be eaten, preferably smoked, most say that they taste “gamey” and resemble tastes similar to food that is used for cats
Muda ni hakimu mzuri sana..huhukumu kwa haki[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ametranslate vibaya taarifa ... Samaki huyo anapatikana bahari zote 2,Both Pacific And Atlantic ..
Ila siyo wazuri kwa kuliwa.
Wana Mercury nyingi
Kama huyo waliyemvua hao Nigerians Anaitwa Atlantic blue Marlin
Umeandika hivi sababu sio wewe, laiti ingekua wewe pengine ungekua umeshajinyonga hivi sasa, yani wewe unamuliza mtu anayetaka kununua kitu unachotaka kula kwa Bilioni 6 za kitanzania kwamba anamnunua kwa kazi gani?!
Sent using Jamii Forums mobile app
So funny hakiPoint ni zilezile:
(1)Lack of information
(2)Poor Communication
(3)Lack of star
(4) etc.
Kwa Nini umesema hivi mkuu?Muda ni hakimu mzuri sana..huhukumu kwa haki![]()
![]()
![]()
![]()
Bahari ya Hindi tumewavua Sana deep sea wanafika Hadi kilo Mia Tatu huku wanaitwa Samusuli Wana msumeno mbele
Mababu zetu kipindi wanawapa wazungu dhahabu na almasi walikuwa wanasema kama unachosema wewe.
Huo ni uzushi wa mitandao mzee samaki mwenye Kama kitimoto siku ya Kwanza kumla lazima uhalishe Mimi nimevua Long line fishing trip najuaMbona hadi leo wewe sio billionea??
Sio andiko langu , nimelitoa mtandaoniCredit muhimu kwa mwandishi jamani. Mshana Jr hii umeandika wewe au kuna sehemu umechukua?
lazima kwanza uwe tajiri wa mawazo ndipo uwe tajiri wa pesa na sio kinyume chake....NOTED[emoji1752][emoji1752][emoji1752]6 bn ni Mpunga gani huo???, huyo samaki atakuwa na gharama kubwa kuliko hiyo 6 bn, lazima kwanza uwe tajiri wa mawazo ndipo uwe tajiri wa pesa na sio kinyume chake.
Nenda kwenye tovuti ya Africa business insider ..hiyo ni moja Kati ya trending NewsCredit muhimu kwa mwandishi jamani. Mshana Jr hii umeandika wewe au kuna sehemu umechukua?
Translation kafanya nani? Au mmeibiana? Pia kutaja hakutakupunguzia kituSio andiko langu , nimelitoa mtandaoni
![]()
A local Nigerian Fisherman captured a Blue Marlin Fish reportedly worth $2.6 million but ate it with his friends.
Read the latest news across entertainment, sports, business and moreafrica.businessinsider.com