Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza; Mvuvi Nigeria atafuna samaki mwenye thamani ya mabilioni ya shilingi bila kujua

the Blue Marlin is actually not a popular choice for eating. While the fish can be eaten, preferably smoked, most say that they taste “gamey” and resemble tastes similar to food that is used for cats
Ametranslate vibaya taarifa ... Samaki huyo anapatikana bahari zote 2,Both Pacific And Atlantic ..
Ila siyo wazuri kwa kuliwa.
Wana Mercury nyingi

Kama huyo waliyemvua hao Nigerians Anaitwa Atlantic blue Marlin
Muda ni hakimu mzuri sana..huhukumu kwa haki[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 


Ndiyo lazima nijue, na nikishajua ndipo nitaweza ku bargain labda bei yake ni billion 12 utajuaje !!!
 
6 bn ni Mpunga gani huo???, huyo samaki atakuwa na gharama kubwa kuliko hiyo 6 bn, lazima kwanza uwe tajiri wa mawazo ndipo uwe tajiri wa pesa na sio kinyume chake.
lazima kwanza uwe tajiri wa mawazo ndipo uwe tajiri wa pesa na sio kinyume chake....NOTED[emoji1752][emoji1752][emoji1752]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…