britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Ni ramli? Ndoto? au issue iko programed?Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Huyo alisema Samia hagombei,alipogombea akasema hatoboi MarchNi ramli? Ndoto? au issue iko programed?
Na ndio maana ya fasihi.Brother kama ungeona haifai watu kujua basi ungesubiri kwanza,kuandika kwa mafumbo unatupa wakati mgumu sana,hapa Kila mtu atatoka na tafasiri yake.
Ema Ze Boy alitisha sana kutumia sekunde 18 badala ya dkk 10 ili azingatie muda.Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
ok.🐒Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Ila ema anachezewa michezo aisee, hadi yule ndugu yao aliekuwa anamtetea wakamchukua na kwenda kumchapa na kumpiga, sasa hivi amebakki kuomba msaaada yupo kifichoni, itabidi ema the boy amuangalie aiseeEma Ze Boy alitisha sana kutumia sekunde 18 badala ya dkk 10 ili azingatie muda.
VIva Nchimbi, shikilia hapo hapoKwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Noma sana mkuu ,ngoja tuone watafikia wapi na sinema zao.Ila ema anachezewa michezo aisee, hadi yule ndugu yao aliekuwa anamtetea wakamchukua na kwenda kumchapa na kumpiga, sasa hivi amebakki kuomba msaaada yupo kifichoni, itabidi ema the boy amuangalie aisee