Ni mwendo wa code tu 2030 hiyo hapo
No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Mnao huo ubavu ?No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P
Hamtakubali wewe na nani mkuu P? Wengine hatujui hata nini kinaendelea so hatuwezi kukubali wala kukataa.No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P
Lissu anaendelea kuivua nguo serikali dhalimu ya CCMKwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Hana lolote tu mpiga zumariBrother kama ungeona haifai watu kujua basi ungesubiri kwanza,kuandika kwa mafumbo unatupa wakati mgumu sana,hapa Kila mtu atatoka na tafasiri yake.
Hatutakubali ni mimi na wale wote wanaojua kile kinachoendelea and the usual games people play!Hamtakubali wewe na nani mkuu P? Wengine hatujui hata nini kinaendelea so hatuwezi kukubali wala kukataa.
We nae unatuvurugaga vichwaKwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
HatareeKwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Kuna yule tukunyema anayeitwa Festo Kiswaga kule Twitter kuandika hivi ila Kwa Kiingereza japo hapo Mwisho mmetofautiana , Yeye anaonekana Kusema ni Makamu ndiye anashughulikiwa ila wewe inaonekana ni Samuya ndiye anashughulikiwa Je nani yuko sahihi kati yenu?Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Siju kwa nini anapenda uandishi wa mfumo huu?kwanza anatumia fake id,why all thisBrother kama ungeona haifai watu kujua basi ungesubiri kwanza,kuandika kwa mafumbo unatupa wakati mgumu sana,hapa Kila mtu atatoka na tafasiri yake.
Kama waliweza kwa yule, watashindwaje kwa huyu?Mnao huo ubavu ?