Nguzo gani tena hiyoWalianza kwa kuweka pembeni ile nguzo yake na egemeo lake, ndipo wakala kichwa!
P
Nguzo yake ni The King Maker!Nguzo gani tena hiyo
Kwamba amemuweka pembeni yule bwana?🤔🤔Nguzo yake ni The King Maker!
P
Aaah wapi!...mwanadamu katu hawezi kuwa nguzo ya kutegemea.Nguzo yake ni The King Maker!
P
Jamaa kawekwa pembeni oooh how anawekwa pembeni baadae tena ana ibuka tumeona hilo kwa jiweNguzo yake ni The King Maker!
P
Wameanza kummudu....Jamaa kawekwa pembeni oooh how anawekwa pembeni baadae tena ana ibuka tumeona hilo kwa jiwe
Ni kweli, kwanza amemuweka pembeni kingio, kisha ndio akamchinja mwanae!.Kwamba amemuweka pembeni yule bwana?🤔🤔
RA?Nguzo yake ni The King Maker!
P
Kivipi anakuwa amewekwa pembeni maana kwenye siasa hayupoNi kweli, kwanza amemuweka pembeni kingio, kisha ndio akamchinja mwanae!.
Its very dangerus to play away with such too powerful People, she has to be extra careful asije akajikuta ni yeye anawekwa pembeni.
P
Mambo mengine ni ya ndani sana!.Kivipi anakuwa amewekwa pembeni maana kwenye siasa hayupo
Kama litaleta heri, linakaribishwa.Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Hapa JF bwana mwaga mchele tu, ndege tupo wengi.Mambo mengine ni ya ndani sana!.
P
Je kama ni hivyo vipi kuhusu uwekezaji mkubwa ZT?Y!
P
Msambaa gani unapuuza ramli ya profesa maji marefuMimi naitwa Mzee Tomaso Shebughe kutoka Lushoto Tanga. Mpaka jambo litokee ndiyo ninaamini. Nje ya hapo, huwa siamini chochote.