Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

Kinachozuia wasimdunge, sio msimamo, bali who is behind him!, hakuna mtu alikuwa na msimamo kama yule Blaza wangu, na walimdunga!, hizi figisu zikiendelea, then ikibidi..., ndio itakuwa kama vile na kuumaliza mchezo kama vile!.
P
But who was behind him inaonekana naye kakausha
 
Sijasoma kilichochangiwa na wachangiaji kwenye mada hii; lakini nimeshawishika sana kutazama walioiwekea ""alama" ya 'like' na nyinginezo kama hiyo.
Waliosoma mada hii takribani 42 kati ya waliopitia na kuifungua 4,000; na hadi wakati huu kurasa 8 tayari zimetinga! Wote wameona ni mada ya kusisimua na pengine kutia matumaini waliyonayo mioyoni mwao endapo hilo jambo litatokea; jambo au nani muhusika hata bila ya kutajwa.

Maana ya hii ni kielelezo cha watu tulipofikia katika kuweka matumaini kwa jambo ambalo hata hatulijui.

Tumeumia sana!

Mleta mada anajulikana sana humu kwa mada za aina hii; lakini bado tunaziwekea matumaini makubwa!

Maana yake ni nini?
Timing ilikuwa mbaya alipaswa akitangaza ishu hiyo the KING MAKER amweleze kwa jamaa yuleee ambaye walitaka ashike usukani kwa muda baada ya Enyonyi kwenda kwa mpinzani wa Zelenskyy! Jikon kuna mengi
 
Back
Top Bottom