BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 942
- 2,431
We mzee paskali una makeke sana.Hili ni bandiko la codes, like minds ndio linawahusu, vitu vingine ni vikubwa huwezi kuvisema mbele ya watoto!
P
We mzee paskali una makeke sana.Hili ni bandiko la codes, like minds ndio linawahusu, vitu vingine ni vikubwa huwezi kuvisema mbele ya watoto!
P
Kuanzia afanye ziara zile kwa wale wastaafu wapumbavu nadhani anajitafakari sana.Hivi jamaa bado anapanda madhabahuni ama alishaana kbs kuzungumzia haki, amani na siasa. Sasa ni mambo ya ufufuo tu. Amekuwa kimya sana huyo mwamba.
Ni njia ya kuchezea tu akili za watu waliopoteza matumaini; watu ambao wapo tayari kupokea taarifa yoyote hata iwe ya kipuuzi na kuifanya iwe ya matumaini.Britanicca wa enzi hizo si Britanicca wa leo, huyu wa sasa anaandika ili watu wajue yupo hai lakini sio kufikisha taarifa wala habari yoyote.
Huu uandishi ni kutuona wasomaji wako mazumbukuku
EEeenHEnHEEE! Hawa wa sasa hupigi raundi. Bukta utalikuta chini bila ya kujuwa limefikaje huko!Ivi unataka mpaka uvuliwe nguo na mwanamke ndo ujue anakuhitaji?
Nimeeeeleewaaaaa.....sasaa Nchimbi out ....Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Mleta MADA kachangia sana na bado anachangia kuwapoteza na kuwatoa kwenye ReliSijasoma kilichochangiwa na wachangiaji kwenye mada hii; lakini nimeshawishika sana kutazama walioiwekea ""alama" ya 'like' na nyinginezo kama hiyo.
Waliosoma mada hii takribani 42 kati ya waliopitia na kuifungua 4,000; na hadi wakati huu kurasa 8 tayari zimetinga! Wote wameona ni mada ya kusisimua na pengine kutia matumaini waliyonayo mioyoni mwao endapo hilo jambo litatokea; jambo au nani muhusika hata bila ya kutajwa.
Maana ya hii ni kielelezo cha watu tulipofikia katika kuweka matumaini kwa jambo ambalo hata hatulijui.
Tumeumia sana!
Mleta mada anajulikana sana humu kwa mada za aina hii; lakini bado tunaziwekea matumaini makubwa!
Maana yake ni nini?
Ni njia yake KUU anayopenda kuitumia na inampa faida, ni vile watanzania wanapendaga story hizi za kujifanya watu wa code codesNi njia ya kuchezea tu akili za watu waliopoteza matumaini; watu ambao wapo tayari kupokea taarifa yoyote hata iwe ya kipuuzi na kuifanya iwe ya matumaini.
Siwezi kuwalaumu waTanzania hawa. Sote tunajuwa tulipofikishwa na watu hawa waovu.
Tunatamani lolote litokee ili tupate pumzi!.
Huyu mleta mada anajuwa hivyo, na anaitumia sana hali hiyo kujionyesha umaarufu wake hata kwa kutunga tu habari ya kijingajinga kama hii.
Tafsiri yangu ni kwamba, watu wamefikia hatua ya kutamani jambo lolote kubwa litokee; ili mradi litupe matumaini ya kuondoa mawazo yetu , hata kwa muda mfupi kwenye haya yanayotukabili sasa.Ni njia yake KUU anayopenda kuitumia na inampa faida, ni vile watanzania wanapendaga story hizi za kujifanya watu wa code codes
Watu wamechokaTafsiri yangu ni kwamba, watu wamefikia hatua ya kutamani jambo lolote kubwa litokee; ili mradi litupe matumaini ya kuondoa mawazo yetu , hata kwa muda mfupi kwenye haya yanayotukabili sasa.
Tunahitaji 'temprary relief' hata kwa muda mfupi tu!
Hivi, kwa namna mleta mada alivyoandika, waweza moja kwa moja kuonesha ni nani kasemwa pale na kwa mizani ipi?Kuna yule tukunyema anayeitwa Festo Kiswaga kule Twitter kuandika hivi ila Kwa Kiingereza japo hapo Mwisho mmetofautiana , Yeye anaonekana Kusema ni Makamu ndiye anashughulikiwa ila wewe inaonekana ni Samuya ndiye anashughulikiwa Je nani yuko sahihi kati yenu?
Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
If you cant syand the heat, stay away out of kitchenKwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
HuweziHivi, kwa namna mleta mada alivyoandika, waweza moja kwa moja kuonesha ni nani kasemwa pale na kwa mizani ipi?
Hao ni veggies na ndugu yao mmatengo..!!
Anapenda uchokonozi halafu hajui loloteTUACHANE NA MIEZI MINGI ILIYOPITA, JUST ANZIA MWEZI WA SITA HADI SASA KUFANYA UCHUNGUZI WA HIZI BASHIRI ZAKE ANAZOPENDA KUWAPA WAPENDA UBUYU HUMU JF, NGAPI ZIMETIMIA. ZIKIFIKA HATA 2 NAKUTUMIA LAKI 5 ASAP
Nchi inapita pagumu sanaMakoridoni wanasema kwamba Eti VP ni Mwigulu na PM ni Dotto Biteko
Hii nchi imepotea hii ila nafurahi kuona mambo yanafika haraka mno kuliko kawaida maana baada ya miaka 10 ijayo Haikutakuwa na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Sana yaani ni balaa hakuna aliyesalama kiufupi CCM inaonja joto lake yenyewe cc: Pascal MayallaNchi inapita pagumu sana