nabii gani tena huyo?Namkumbuka yule nabii wa hovyo wa Kimeru alikuwa roporopo, Chali, kakaa huko kimya asemi kitu Tena! Fool
nabii gani tena huyo?Namkumbuka yule nabii wa hovyo wa Kimeru alikuwa roporopo, Chali, kakaa huko kimya asemi kitu Tena! Fool
Vp kama walioweza kwa yule ndo hao wanaomlinda huyu?Kama waliweza kwa yule, watashindwaje kwa huyu?
P
Kikwete kakubali aanguke chini?Nchimbi kujiuzulu sio ..
Au Lissu kuachiwa huru.
Au Samia kuanguka chini.
Bora iwe kwani mambo ni mengi na yenye kuchosha,kuchukiza,kufikirisha,kuhuzunisha ,kuvunja moyo na kukatisha tamaa na kuchochea hasira😭Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Kwa nini kila mwaliko anaenda, viti, microphone na zawadi anazopewa anaziamini vipi?Na Ana msimamo bila msimamo wangesha mdugai
Yule aliyekuwa anasifiwa, Jasusi Mbobevu, niguse unuke, ilikuwaje kuwaje team yao ikamg'atisha shuka?Kabla hawajam kolimba, huyo anayekolimba wenzake, atatangulia yeye!.
P
Kikwete Mrisho? (KM)The KM
P
kuna kuna wengi humu hawawajui wasukuma kete za huu mchezo wetu wa draft kuingia kingiVp kama walioweza kwa yule ndo hao wanaomlinda huyu?
hapana, ni The King MakerKikwete Mrisho? (KM)
Bro sio darasa la kiswahili hapa.Na ndio maana ya fasihi.
Yule Jasusi mbobevu sio wao,kosa lake ni kutokusikia ushauriYule aliyekuwa anasifiwa, Jasusi Mbobevu, niguse unuke, ilikuwaje kuwaje team yao ikamg'atisha shuka?
Acha kuzua taharuki.Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Huyo amegeuka ' attention seeker '.Siju kwa nini anapenda uandishi wa mfumo huu?kwanza anatumia fake id,why all this
Ivi unataka mpaka uvuliwe nguo na mwanamke ndo ujue anakuhitaji?Bro sio darasa la kiswahili hapa.
Faida ni kwamba hatulazimiki kutumia majina yetu halsi.
Hukubali wewe na nani?..No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P
Hilo neno mnalitumia vibaya "TAHARUKI"Acha kuzua taharuki.
Hii ID itapoteanaok.🐒
Uandishi wa namna hii kwa watu wa aina yako ni kuwakosea adabu wasomaji. Hebu fikiria wewe ndo msomaji wa huu ujumbe unapata taarifa gani?No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P
Naona umenoa panga 😁😁😁No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P