Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
ok.🐒Hii ID itapoteana
ok.🐒Hii ID itapoteana
Britanicca wa enzi hizo si Britanicca wa leo, huyu wa sasa anaandika ili watu wajue yupo hai lakini sio kufikisha taarifa wala habari yoyote.Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Kinachozuia wasimdunge, sio msimamo, bali who is behind him!, hakuna mtu alikuwa na msimamo kama yule Blaza wangu, na walimdunga!, hizi figisu zikiendelea, then ikibidi..., ndio itakuwa kama vile na kuumaliza mchezo kama vile!.
P
Hivi jamaa bado anapanda madhabahuni ama alishaana kbs kuzungumzia haki, amani na siasa. Sasa ni mambo ya ufufuo tu. Amekuwa kimya sana huyo mwamba.Kabla ya kujiamulia apate ushauri kutoka kwa yule Shushushu wa Mbinguni ili ajue salama ilipo.
Hatutaki kupoteza Mtanganyika hata mmoja!
Pole Pole alikuwa mbishi mbishi sana!
Masahihisho: Alipata kura 1 tuMbona hapakuchimbika ulipopata kura 2, hapa Danganyikaz hakuna kuchimbika wala kufukua.
The braves and worriers in Danganyikaz are not yet born, so stay calm.
Mimi na Wasukuma kete, Kuna watu humu, japo ni nobody, lakini ndio wasukuma zile kete mtu analiwa mpaka kingi inaliwa, na mtu anaingia kingi. https://www.jamiiforums.com/threads...na-kauli-umba-ambazo-huumba-shuhudia.2013308/Hukubali wewe na nani?..
Hili ni bandiko la codes, like minds ndio linawahusu, vitu vingine ni vikubwa huwezi kuvisema mbele ya watoto!Uandishi wa namna hii kwa watu wa aina yako ni kuwakosea adabu wasomaji. Hebu fikiria wewe ndo msomaji wa huu ujumbe unapata taarifa gani?
😳😳😳😳😳🤔🤔🤔🤔🤔TUACHANE NA MIEZI MINGI ILIYOPITA, JUST ANZIA MWEZI WA SITA HADI SASA KUFANYA UCHUNGUZI WA HIZI BASHIRI ZAKE ANAZOPENDA KUWAPA WAPENDA UBUYU HUMU JF, NGAPI ZIMETIMIA. ZIKIFIKA HATA 2 NAKUTUMIA LAKI 5 ASAP
King Maker.Kikwete Mrisho? (KM)
Had a message inEma Ze Boy alitish
Umepata ngapi zilizotimia?😳😳😳😳😳🤔🤔🤔🤔🤔
Duuuh, hatari na nusu.Masahihisho: Alipata kura 1 tu
R Ahapana, ni The King Maker
P
Kwani amekuwa mwanamke?Huyo amegeuka ' attention seeker '.
What if Id yake inaendeshwa na kikundi cha watu kadhaa?Britanicca wa enzi hizo si Britanicca wa leo, huyu wa sasa anaandika ili watu wajue yupo hai lakini sio kufikisha taarifa wala habari yoyote.
Huu uandishi ni kutuona wasomaji wako mazumbukuku
Sasa Pasco utafanyaje hata akichinjwa hadharani camera zote zinamulika?No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P
Huyu ni mchumia tumboBrother kama ungeona haifai watu kujua basi ungesubiri kwanza,kuandika kwa mafumbo unatupa wakati mgumu sana,hapa Kila mtu atatoka na tafasiri yake.