allow cp
JF-Expert Member
- Aug 15, 2026
- 1,134
- 3,467
Na hili joto linaweza waunguza kwasababu VC hajaridhia anajua wana mfanyia figisu, nchi ikisha jihusisha na mambo ya utoanaji uhai kwa ajiri ya madaraka huwa ni bandika banduaSana yaani ni balaa hakuna aliyesalama kiufupi CCM inaonja joto lake yenyewe cc: Pascal Mayalla