brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 1,034
- 1,638
Kaka sasa hapa uelekeo ni wapi kuna neema huko mbele ama ni mwendo wa bandika bandua??Kaka
Kaka sasa hapa uelekeo ni wapi kuna neema huko mbele ama ni mwendo wa bandika bandua??Kaka
Kwamba anaumendea umakamu, vipi kigezo Cha umriMalyamungu atakuwa kwa mganga mida hii anaoshwa
Niombe radhi kwa kosa gani?.Paskali uje sasa, tena uombe radhi kwanza ndio mjadala uendelee
Niombe radhi kwa kosa gani?.
P
Tuambie nani makamu mpya basiKwa heshima bora ajiamulie mapema aisee
Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika
Ni credit kwa Taifa
Britanicca
Sema.Kaka
TayariMimi naitwa Mzee Tomaso Shebughe kutoka Lushoto Tanga. Mpaka jambo litokee ndiyo ninaamini. Nje ya hapo, huwa siamini chochote.
Sasa mmoja kalizwa.Huwezi
Hebu rudia tena !!!No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P
No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P
Na watamuua kweli na hivyo yuko pembeni sasa.Kama vipi wamuue tu
Tayari mkuuRamli chonganishi. Ngoja tusubiri
P,neno la hekima kutokea kwako tafadhali baada ya yote haya!No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P
No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P
Nenda huko na unafki wako..haya fanya sasa tuone!No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P
Huyo hana loloteMzee karibu utuelezee patachimbikaje?
😀😀Ingekua ni thread yake angetamani aseme yeye ndio alitabiri kuwa makamu wa raisi atajiuzulu kama anavyosemaga eti yeye ndio alitabiri Magufuli kuwa Raisi wakati members wengine wengi humu walishaandika thread kabla yakePaskali uje sasa, tena uombe radhi kwanza ndio mjadala uendelee
Nae wata mpole mpole sasa 🥴🥴Sema.
P
Kwa kupata kura 0 kwemye kinyang'anyiro cha Kigamboni. Kwamba jamaa walichukuahadi kura yako 1 mkuu.Niombe radhi kwa kosa gani?.
P