Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

Ni njia ya kuchezea tu akili za watu waliopoteza matumaini; watu ambao wapo tayari kupokea taarifa yoyote hata iwe ya kipuuzi na kuifanya iwe ya matumaini.

Siwezi kuwalaumu waTanzania hawa. Sote tunajuwa tulipofikishwa na watu hawa waovu.
Tunatamani lolote litokee ili tupate pumzi!.

Huyu mleta mada anajuwa hivyo, na anaitumia sana hali hiyo kujionyesha umaarufu wake hata kwa kutunga tu habari ya kijingajinga kama hii.
Thomaso good afternoon
 
Back
Top Bottom