Jambo zuri alilowahi kukufanyia mpenzi wako

Kunipa zawadi ya kitenge ni zawadi niloipokea kwa moyo wangu wooooote!!!! Kila siku nakiangalia tuu
 
Ananitengenezea juice ya mixed fruits mpaka nimeacha pombe na kuwahi nyumbani fasta daily
 
Ex yule ambae nampenda bado. Kweli sijaachana nae kwa moyo wangu wote kuna muda nammiss kweli. Labda nikipata replacement nitamsahau
mkuu mimi huwa na mkumbuka wangu na namba zake ninazo lakini sintowahi kumpigia katu ”"
 
hahaaaa eti nahonga ..daaahh
 
huu uzi nimeinjoi maana umenoga haswa uongo uliojaaaa humu na hadithi hadith za kutunga.
 
uzuri wote huo hujaolewa hao ma Jamaa uliowahi kuwa nao wanakichaa

haaaaahhh its jus a chitchat kuvuta siku kwa kuifkia 26.4!lol!hajambo rafikio [HASHTAG]#mambembe[/HASHTAG]
 
haaaaahhh its jus a chitchat kuvuta siku kwa kuifkia 26.4!lol!hajambo rafikio [HASHTAG]#mambembe[/HASHTAG]
hapo sawa !!!

hahaaaa [HASHTAG]#mambembe[/HASHTAG] kapewa mwenge sasa hivi yupo kwao tu anatumbua macho jf anaitamani ila ndio hvyo mods wamemfnyia roho mbaya ""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…