Jameni walokole, hivi haya maneno mnayatumia vile yanavyopaswa ama mnatulisha matangopori?

Naanza na maswali marahisi, twende kazi.

Hivi watu waliokufa kabla ukristo haujaingia huku Afrika sasa hivi wako motoni ama peponi?
Ukristo haukuwepo afrika kabla(hilo nalikubali)
-kwanza biblia takatifu inasema kuhusu waliokufa kuwa roho zao zimetulia na hazijui kinachoendelea, si mbinguni wala duniani, biblia inaenda mbele zaidi inasema kuwa zinasubiri siku ya hukumu/kiyama

Maana yake ni kuwa kusema wapo peponi au motoni ni kujilisha upepo mkuu kwa sababu
1. Siku ya hukumu haijafika (MUNGU bado hajauhukumu ulimwengu)

2. ni vigumu kujipa majukumu ya ki MUNGU ya kuhukumu nani atakaa wapi nani atakuwa kule

biblia inasema mtu anapokufa, wakati uleule matendo yake humfuata na file lake linafungwa wakati huo. hivyo tusubiri hukumu ya MUNGU katika hili.
 
Wewe kama mjuzi wa mbo haya unadhani roho za hawa watu zitakwenda wapi?
 
Back
Top Bottom