ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Kama hivi😂Nguvu 💪 Moja mkuu.
Tunyetuke kwa afya zetu.
Kama hivi😂Nguvu 💪 Moja mkuu.
Tunyetuke kwa afya zetu.
Mimi kama msomaji huwa nachukua tahadhari katika mgongano wa kimawazo na MUNGUWewe kama mjuzi wa mbo haya unadhani roho za hawa watu zitakwenda wapi?
Bora wewe umejibu hivyo lakini utakuta kuna wapumbavu utakuta wanaanza kujitungia mambo ambayo hata kwenye Biblia hayapo ili mradi tu waonekane wanajuaMimi kama msomaji huwa nachukua tahadhari katika mgongano wa kimawazo na MUNGU
Mkuu
Isaya 55:8-9 inatuonya kuhusu hili
biblia inasema mawazo na matendo yetu kama binadamu hayafanani na MUNGU, hivyo mawazo ya MUNGU hayachunguzuki, na hapo ndo nakwambia tusubiri hukumu ya MUNGU
YesKama hivi😂
Kwani bibilia unasemaje kuhusu wale wasiomjua mungu/wasioijua bibilia?Mimi kama msomaji huwa nachukua tahadhari katika mgongano wa kimawazo na MUNGU
Mkuu
Isaya 55:8-9 inatuonya kuhusu hili
biblia inasema mawazo na matendo yetu kama binadamu hayafanani na MUNGU, hivyo mawazo ya MUNGU hayachunguzuki, na hapo ndo nakwambia tusubiri hukumu ya MUNGU
Biblia inasema wasiomjua na kumuamini MUNGU, eneo lao ni lile ziwa liwakalo moto.Kwani bibilia unasemaje kuhusu wale wasiomjua mungu/wasioijua bibilia?
Jibu la hapo likipatikana labda tunaweza kupata mwanga kwa mbali.
Kabla ujio wa wakristo habari zilizojukikana ni za miungu, kama habari za mungu kweli zilijulikana basi ni kwenye maeneo machache mno. Hapa ndipo mkanganyiko unapokuja.Biblia inasema wasiomjua na kumuamini MUNGU, eneo lao ni lile ziwa liwakalo moto.
kuna hoja pembeni "nani ajuaye matendo ya hawa watu kabla ya ujio wa ukristo?
unajua kuwa kabla ya ujio wa ukristo, habari za MUNGU zilikuwepo duniani kote. biblia inatambua kuhusu neno la MUNGU katika bara la afrika kurudi nyuma hadi siku za mababu zetu huko meriba
Hivi ni mimi au ni hizi bia zinanichanganya ladies & gentlemen?Et mie anataka kukuingiza mkenge
Mie redies and gentlemen shauri yako
Mathayo 23:37Ukilaani Israel umelaniwa
Wayahudi wali msurubu masihaðŸ˜Mathayo 23:37
[37] “Ee Yerusalemu, Yerusalemu, uwauaye manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako! Mara ngapi nimetamani kuwakusanya watoto wako pamoja, kama vile kuku akusanyavyo vifaranga wake chini ya mabawa yake, lakini hukutaka!
Hao wayahudi wamelaaniwa.