secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Namnukuu mchungaji aliyekuwa akihubiri kanisani leo mchana, "Tuko mbele 'zako' baba wa mbinguni".
Hivi mungu ana mbele ngapi? ni 'mbele zako' au 'mbele yako'.
Hebu tuwekane sawa maana mungu anaweza akawa na mbele zaidi ya Moja kwa sababu mara zote walokole wamekuwa wakisema "mbele za mungu" badala ya 'mbele ya mungu'.
Nasanzuka!