Jameni walokole, hivi haya maneno mnayatumia vile yanavyopaswa ama mnatulisha matangopori?

Jameni walokole, hivi haya maneno mnayatumia vile yanavyopaswa ama mnatulisha matangopori?

Yesu hakuacha dini.
Mimi ni mkristo. Maana yake mfuasi wa kristo.
Wakusanyikapo wawili watatu kwa ajili yake, teyari ni kanisa.
Hajasema dhehebu.
Ukifata madhehebu utapotea
Ndugu nakusihi uokoke na uone muujiza wa yeye aliye juu.

Juzi kati mungu kaonesha ukuu wake pale gesi ilipopulizwa hadi ikajaa.
 
Mkuu nikianza kukupiga maswali ya kidini unaweza kunijibu vizuri?
Twende kazi mkuu

Kwanza maneno mengi tunayotumia wafuasi wa YESU pamoja na mohamed, tunayabeba kama yalivyo

Mfano: neno shalomu au shalom ni neno la kiebrania lililo tumiwa na wayahudi na kanisa la kwanza
-shalomu maanake ni amani hata ukisoma kitabu cha waamzi 6:24 utakuta kuna mtu anaitwa gidion amejenga madhabahu na kuyaita yehova-shalom yaani madhabahau ya MUNGU WA AMANI

Hili neno wafuasi wa mohamed saw mnalitumia kwa kusema assalaam alaykum

hivo hiz ni salamu za kimapokeo kutoka mashariki ya kati ambapo hao mitume wetu hususani YESU KRISTO, MUNGU katika mwili aliishi na kufanya huduma yake ijapo alikuja hadi afrika.
 
Ni salamu gani unaitimia kati ya, 'timsifu yesu kristo' na 'bwana yesu asifiwe'.

Tuanzie kwanza hapo Ili nijue wewe ni nani.
 
Ni kweli Mungu yupo ?
Yupo wapi?
Unakumbuka niliandika imani ni bayana ya mambo ya kiroho, mambo yasiyo-onekana. Kama una utashi wa kutosha unaweza kuelewa kupitia hio mistari

Mungu yupo, ila ukitaka mtu wa kukuthibitishia yuko wapi?
Hakuna anayeweza kutimilizia hilo hitaji lako.
Hakuna anayeweza kuthibitisha Mungu yuko wapi.
Ila Mungu anaishi ndani ya mioyo yetu.
Tunaweza kuthibitisha kwa matendo yetu kati yetu.
 
A

Shukran sana🙏
 
Namnukuu mchungaji aliyekuwa akihubiri kanisani leo mchana, "Tuko mbele 'zako' baba wa mbinguni".

Hivi mungu ana mbele ngapi? ni 'mbele zako' au 'mbele yako'.

Hebu tuwekane sawa maana mungu anaweza akawa na mbele zaidi ya Moja kwa sababu mara zote walokole wamekuwa wakisema "mbele za mungu" badala ya 'mbele ya mungu'.

Nasanzuka!
Wahenga walisema: "ukimnyoshea mtu kidole kimoja, vitatu vinakunyoshea wewe."

Tuwekane sawa:
In standard Kiswahili usage, the word “Mungu” is capitalized when it refers to the specific monotheistic deity, because in that context it functions as a proper noun. The lowercase form “mungu” is normally used when speaking about deities in a general sense. Therefore, if the Pastor was referring to the specific deity in a religious context, it should be written as “Mungu” with a capital letter to follow normal grammatical convention.
 
Back
Top Bottom